NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Jamani,update za game 2 vipi? Au wale wa defend the land confidence imeporomoka kidogo?
 
bro wewe ni mgeni nini wa kuangalia hizi fainali!? Confidence inaporomokaje kwa kupoteza game moja tu wakati bado kuna zingine tatu?!!!

Sikumbuki ni lini CAVS alishinda game one dhidi GSW kwenye finals, lakini mara zote GSW alizotangulia vipigo huwa vinarudishwa na series inaishia game 6/7.

Kuhusu update ni kwamba Irving kasema walijiandaa sana kukabiliana na warriors ila hali waliokutana nayo game 1 ni tofauti na tangia juzi wamejifunza! Kwa hiyo patachimbika.

Huna kingine!?

[HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG]
 
Yangu macho Lizarazu..niliona thread haitembei kabisa utadhani series imeisha nikadhani cavs mmekubali mapema kutokana na mliyoyakuta game 1. Pamoja mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mashabiki wa GSW wengi ni cancerous! Yaani wanavyo-spew kwenye social media utafikiri GSW ameshawa-sweep Cavs! It's good to brag about your team! Ila ni vyema pia kuwa na akiba ya maneno!
[HASHTAG]#StriveForGreatness[/HASHTAG]
 
Yangu macho Lizarazu..niliona thread haitembei kabisa utadhani series imeisha nikadhani cavs mmekubali mapema kutokana na mliyoyakuta game 1. Pamoja mkuu.
Ha ha haaa, hapana ndugu yangu kwenye vikapu hakuna kuweka mpira kwapani. Sasa hivi tunahesabu tu saa na dakika moto uwake Oracle Arena katika mchezo wa pili. Naambiwa CAVs wameapa kutokubali hata kama viatu vinawavuka.
 
Sitegemei kuona dominance ya KD tena utafikiri anacheza peke yake uwanjani.

Sitegemei kuona turnovers za kipuuzi puuzi Leo.

Sitegemei kuona ushindi wa gap la 20+ points.

Kiufupi ni kwamba Leo ni vitaaa!!
fc2237afc5255bc9f2fff0caede5f3d9.jpg
 
We will see..!
 
Leo vijana wameamua kumpatia Steph Curry free throwz za kutosha..!
Uamuzi mzuri...
Ila msituumizie tu..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom