NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

I know. Na kweli inaua ushindani. Ila ili kushindana na GSW toe-to-toe na knuckle-to-knuckle, inabidi kuunda superteam. Vinginevyo NBA inabidi watunge sheria za kudhibiti hili.

Imagine Cavs wanampata AD au PG!
Ningetamani AD aje GSW [emoji1] .yule dogo mbaya sana kule pelicans anapoteza muda tu.
 
Mnachosahau kusema ni kwamba, super team ya Warriors imejiunda yenyewe.. Only KD ndiye amekuwa addition na wengine wote walikuwa drafted na hiyo timu.. Hivi katika your 5 starters mliowadraft ni wangapi? Hiyo inayoitwa imetengeneza super team 3 of their best starters walikuwa drafted na hiyo timu..

Super team ya Warriors imejitengeneza, haijatengenezwa.. Haya sasa kazi kwenu kutengeneza yenu..
Ukimtoa KD, GSW wasingekuwa na chance this time mbele ya Cavs! Superteam si lazima itonekana na wachezaji ambao hawakuwa drafted na timu husika!

Lakini kumwongeza KD kwenye timu yenye mchezaji mwenye 2 MVPs na timu yenye one of the deadly backcourt, tayari inakuwa ni superteam!

Najua huwezi kukubali! Lakini ni ukweli GSW ipo more stacked than any team in history!

Ngoja tuone games 2 zijazo zinakuwaje!
[HASHTAG]#DefendTheLand[/HASHTAG]
 
Bro kila MTU anakula kwa urefu Wa kamba yake .

Unaweza kujaza mastaa wakaishia kulambwa na wachimbachumvi.

Pale GS ni huyo KD tu wakuja.

Wengine wote walipata moto wakiwa pale.
Ndo maana nasema alifuata mteremko.

Super star anatoka kwenye timu iliyokuwa serious contender anaenda kwenye 73-9 team unategemea nini?

GSW hata bila KD walikuwa favorites kushinda ubingwa mwaka huu.

It's kinda sad for the game...but it is what it is.

Nawalaumu kina Paul Pierce, KG, na Ray Allen kwa kuanzisha hiyo trend....
 
1dc57bfc2ecd42283b26d73d1982a10c.jpg
 
Bro kila MTU anakula kwa urefu Wa kamba yake .

Unaweza kujaza mastaa wakaishia kulambwa na wachimbachumvi.

Pale GS ni huyo KD tu wakuja.

Wengine wote walipata moto wakiwa pale.
Kuna historia watu wanasahau sijui kama ni kwa makusudi au vipi...GSW ilipotwaa ubingwa mwaka 2015 haikuwa na mchezaji yeyeote aliyeweza kuitwa supastaa, la hasha! Ilikuwa ni timu pekee iliyoweza kutwaa ubingwa bila mchezaji yeyote aliyewahi kucheza finali! Je GSW kuwa super team ni kwa sababu ya KD tu au vipi?
 
Sasa mzee hizo zitakua kufuru...
Hahahahahah mkuu spend the money get the money and everything.

No matter what!?

Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.

Ila baada ya Two defeats za playoffs na kuona no future hope to come ,buddies mnaanza kulalamika.

Mazee mnazingua.
 
Kuna historia watu wanasahau sijui kama ni kwa makusudi au vipi...GSW ilipotwaa ubingwa mwaka 2015 haikuwa na mchezaji yeyeote aliyeweza kuitwa supastaa, la hasha! Ilikuwa ni timu pekee iliyoweza kutwaa ubingwa bila mchezaji yeyote aliyewahi kucheza finali! Je GSW kuwa super team ni kwa sababu ya KD tu au vipi?
Ndipo hapo sasa .

Too much whining.

Disgusting kwa kweli

Tuendelee kufurahia mchezo baaada ya the finals kuisha tudiskasi nani na nani amchukue nani.
 
Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.
Nani huyo hakuliona hilo? Toka KD kaenda GSW, watu wamesema sana juu ya hilo. Ndiyo maana ati wengine wanasema Cavs inacheza dhidi ya WC All-stars!

All in all, offensive prowess ya GSW needs a real match-up for any team to win against them. Ngoja tuone game plans za Cavs kwa games 3 na 4.
 
Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.

Ukisema watu hawakuliona hilo utakuwa ama si mkweli au una ujinga [usichukulie kama tusi] kuhusu hilo.

Stephen A Smith amekuwa akilizungumzia hilo la KD kuhamia GSW na kuharibu season nzima tokea siku anatangaza kuwa ata sign nao.

Msikilize hapo akizungumzia jinsi ushindani [or lack thereof] utakavyokuwa...

Hahahahahah mkuu spend the money get the money and everything.

No matter what!?

Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanza hii swala hawakuliona.

Ila baada ya Two defeats za playoffs na kuona no future hope to come ,buddies mnaanza kulalamika.

Mazee mnazingua.
Juzi walilalamikia turn-overs kuwa ndizo ziliwa-cost CAVs game. Leo GSW ndio wameongoza kwa turn-overs na bado wakafunga zaidi ya juzi. Kumbe turn-overs don't matter that much...
Nzi, [B]Raimundo[/B] acheni kulialia na vijisababu vya ajabu ajabu.
 
Hahahahahah mkuu spend the money get the money and everything.

No matter what!?

Naona sasa watu wanaanza kuchukia uwepo Wa KD pale GSW wakati msimu unaanzaii swala hawakuliona.

Ila baada ya Two defeats za playoffs na kuona no future hope to come ,buddies mnaanza kulalamika.

Mazee mnazingua.
Kama sikosei wakati KD anatua GSW kuna kiumbe humu jukwaani aliponda kwa kusema choker anaenda kuungana na chokers wenzake...
Ila sasa hivi imekua story tofauti tena...
Binadamu hawaeleweki bradha..!
[HASHTAG]#TuendeleeKuwepo[/HASHTAG]
 
Juzi walilalamikia turn-overs kuwa ndizo ziliwa-cost CAVs game. Leo GSW ndio wameongoza kwa turn-overs na bado wakafunga zaidi ya juzi. Kumbe turn-overs don't matter that much...
Nzi
, [B]Raimundo[/B] acheni kulialia na vijisababu vya ajabu ajabu.
Hakuna analialia...kwani ni uongo GSW ni superteam? The most stacked NBA team in history?

Anyway, taulo jeupe bado halijatupwa!
 
Kama sikosei wakati KD anatua GSW kuna kiumbe humu jukwaani aliponda kwa kusema choker anaenda kuungana na chokers wenzake...
Ila sasa hivi imekua story tofauti tena...
Binadamu hawaeleweki bradha..!
[HASHTAG]#TuendeleeKuwepo[/HASHTAG]
Hahahahaha eti chokers embu mtafute mwekee hiyo comment alambe matapishi yake.

Gemu zikikuendea vibaya tulia kimya wape hongera washindi ndio sportmanship ilivyo.
 
Back
Top Bottom