Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Teh...
[HASHTAG]#TuendeleeKuwepo[/HASHTAG]
hehehehe naona unawakumbushia...
Sasa hawaeleweki wanasimamia wapi, wamebaki lawama tu teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh...
[HASHTAG]#TuendeleeKuwepo[/HASHTAG]
hehehehe naona unawakumbushia...
Naona sasa wameanza kusingizia Kyrie ana knee injury..
Bron game 3, kota ya 3 pale tutakuwa tunalead kwa 20 points naye atafake injury aipushe lawama.. 5 Losses on Finals
Kwahiyo ulitaka arushe nani? Na wakati anarusha warriors walikuwa wanalead kwa ngapi?? teh tehToday's game plan almost worked, tutaiboresha.
Mimi nimeona kwamba game tumeipoteza muda flani James alirusha 3 mara 2 zinaenda off, nikajua mzee kashapanic na game imeisha hii.
That's the impact of puttin emotions in front of common sense broh..!Nimeumia sana Kwa matokeo haya . Jumatatu yangu imeanza vbaya . Nasikitika Kwa kweli. Binafsi Ni fan mkubwa Wa LeBron. Madrid nao waliniumiza juzi.
Vijana kabisa na machachariCAVS wanatisha....
Nipe matokeo,ilikuwaje?niko kijijini sana.Hawa Cavs waanze kuomba wasiwe swept washinde hata game moja. 4-1 GSW bingwa
Vijana kabisa na machachari
GSW 132, CAVs 113...yangeweza kwa mengi zaidi ila GSW ni wastaarabu na waungwana sana, hawatafuni mfupa!Nipe matokeo,ilikuwaje?niko kijijini sana.
Hahahahaha Dude umetisha![emoji417]Documents
└[emoji416] NBA
└[emoji416] Golden State Warriors
└[emoji417] 2017 Playoffs
└[emoji417] Losses
└[emoji615]️ No files exist