Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu huonekani kabisa. Kwema lakini.Cavaliers wanaongoza
Habari wakuu. Za masiku? Dah asee ni long time ila nimeona sio mbaya nikiwajulia hali.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Tupo King Shaat ila kwa sasa tuko likizo tukitafakari namna ya kukabiliana na wimbi la kuibuka kwa madikteta lililoikumba dunia kwa sasa kisiasa. Kwa upande wa michezo Warriors naona mambo yametulia vijana wakiinadi Basketball sehemu mbalimbali ulimwenguni huku wakitengeneza mkwanja. Wahasimu wao wakubwa Cavaliers bado wanatafuta namna ya kujipanga msimu ujao kwani vijana kama KI nao wangependa watoke kwenye kivuli cha LBJ. Timu zilizobaki nazo zinajitahidi kutoka kwenye kundi la wasindikizaji ili nao waonekane wapo wakivuma. Safari hii tunaweza kushuhudia changamoto nzito kuliko msimu uliopita.Habari wakuu. Za masiku? Dah asee ni long time ila nimeona sio mbaya nikiwajulia hali.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Wakuu asee naoa hivi karibuni 12 August 2017. Mnisamehe kwa late announcement wazee.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Nashukuru sana mkuu.Hongera sana Mkuu, karibu kwenye chama
Aisee hongera sana boss... Pilau linaliwa wapi tuje teh tehWakuu asee naoa hivi karibuni 12 August 2017. Mnisamehe kwa late announcement wazee.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Wakuu asee naoa hivi karibuni 12 August 2017. Mnisamehe kwa late announcement wazee.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
What? Hongera sana King Shaat, unajua humu tunaingia kwa nadra sana labda mpaka hapo msimu wa mchezo wetu pendwa utakapoanza rasmi. Naomba mjitahidi kutu-tag mapema mnapokuwa na jambo la muhimu kama hili. Nimeingia humu kwa bahati leo baada ya kupata notification tu la sivyo nisingejua hata...!Wakuu asee naoa hivi karibuni 12 August 2017. Mnisamehe kwa late announcement wazee.
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Hahaha pilau ililiwa Chugga man
Hahaha hell yeah, son!Mzee naona utakuwa honeymoon sasa...scoring em 3 pt like nobody's business
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri bro!What? Hongera sana King Shaat, unajua humu tunaingia kwa nadra sana labda mpaka hapo msimu wa mchezo wetu pendwa utakapoanza rasmi. Naomba mjitahidi kutu-tag mapema mnapokuwa na jambo la muhimu kama hili. Nimeingia humu kwa bahati leo baada ya kupata notification tu la sivyo nisingejua hata...!
I hope you had a wanderful marriage na nakutakia kila aina ya furaha katika maisha yako ya baadaye ila nina ushauri moja tu mdogo. From now on it is not a question of what's best for you as an individual, but what's best for both of you as a couple. Umepewa kifungo cha maisha hivyo serve all your term responsibly, faithfully and honorably (till death do you apart!) Cheers!
mi mawazo yangu yote mnaofuatilia NBA mnaishi Marekani.....kumbe unakaa Kwa mromboo Arusha?Hahaha pilau ililiwa Chugga man
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
Hahaha mnigga umenichekesha kinyama ariff. Hahaha so na wale washabiki wa Barca nao wanaishi Spain? Hahaha acha zako man.mi mawazo yangu yote mnaofuatilia NBA mnaishi Marekani.....kumbe unakaa Kwa mromboo Arusha?