Harden asipo beba mwaka huu nadhani atasubiri sanaa.
Sema Harden wa Playoffs naye simwamini
Utah wako vzuro siyo kama unavowa chukuloa gsw wenyewe walikuwa hawamtaki Utah.ambao wangetusumbua wote wameondoka!Hayward (celtics-injured),Joe Johnson(rockets)
Sasa waliobaki pale tukimpaka Vile Rudy Gobert timelu imeisha!Na Steve Adams atanmudu vizuri!Point Guard Rick Rubio kwa sasa sio mzuri kama misimu 4 iliyopita akiwa Minnesota!atakabika vizuri saaana na Russell
Rockets vs 76ers tupate watu wapya itakaa poa
Rockets akikutana na Cavs aneza hata akashinda based on uzoefu. ila ikiwa Cavs na GSW tena Cavs anapotea vile vile.
YeahPlayoffs game zote huwa Tough!You cant predict anything
Utah wako vzuro siyo kama unavowa chukuloa gsw wenyewe walikuwa hawamtaki Utah.
Gobert tayari ni DPOY na Rookie Mitchel ana tupia sana 3 pts
Mtashinda ila not less than Game 7
Jiandae kwa suprise EC kuliko hata WC mwaka huu mkuu.East kumzuia LBJ ni kazi sana.
Boston wasingeumia wangekuwa na chansi kubwa. Ila Sixers siyo msimu huu.
Jiandae kwa suprise EC kuliko hata WC mwaka huu mkuu.
If its Cavs then we need nothing other tha GSW
Rockets siwaamini.
Rockets vs Cavs? You've got to be kidding!😛🙁😵🙄!
HahahYule Rockie hawezi isaidia timukwenye playoffs!Bado hajakomaa na hana playoffs mentality!
Hahah
Sawa ila kuwa majini Utah wanaweza kuku suprise
Yeah am not a fan either but he is dominating the east. Ila nna wasiwas kuwa Easterners will not go down without fighting him this time.Lebron ndio anafanya Cavs iingie Kwenye Conference prediction,ukiachilia sacrifice kwenye timu,ila he talks alot,influence all players!Tho simpend
HahahaKabisa chief umakini na sala zinakuwepo muda wote kwa Timu yangu niliyoipenda toka Hasheem Thabeet hajasainiwa OkC enzi hizo yuko Rockets hasheem
Hahaha
Sja wahi kuipenda sana OKC, tho dumKD alikuwa anafanya ni ipende ki aina
Mimi timu yangu haija qualifyKwahiyo naomba niijue timu yako mapema pia
Pole sana subiri 2022
BAK timu yako ipi?
Haya Chief!!Basi support My OKCMie ni mpenzi mkubwa sana wa Basketball ila sina timu. Timu yeyote ile ichukue ubingwa lakini si GSW.