Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Lebron ndio anafanya Cavs iingie Kwenye Conference prediction,ukiachilia sacrifice kwenye timu,ila he talks alot,influence all players!Tho simpend
Mbona celtic haongelewi walau conference tu wakati yuko on fire mag3?
Celtics are facing Karma for Isaiah Thomas trade.
Acha iwale.
Isnt Irving enough replacement for Isaiah,Walter?
They sold Cavs an injured Isaiah without fully disclosing the extent of an injury.
Gordon Hayward and Kyrie paid the curse.
Now I understand what you mean,but without the duos injury prone,celtics were the scary team to face in the playoffs.
HahahahaPole sana subiri 2022
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu huwa wanasema hawampendi LeBron ukiuliza sababu hawatoi.
TupooooWakuu wa uzi huu mpo!? Shughuli zimeanza rasmi.
Spurs wakijitahidi watatolewa match 5Sawa Mkuu Spurs wananyanyaswa ugenini 33-26
Kuna watu huwa wanasema hawampendi LeBron ukiuliza sababu hawatoi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo braza lazima watu wote wampende LeCoach?
Si ipendi BarcaHahaha, ni kama nisivyoipenda Barca na GSW