NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Kwa matchup
76ers walikuwa wanamtoa Lebron yaan wakupita Celtics
Cavs ni.cakewalk to the finals
Wewe jamaa ni prisoner of the moments. Yaani unaamini hao Sixers wana uwezo wa kumwangusha Bron na Cavs? Oh, sasa hivi narrative imebadilika, na kuwa East ni cakewalk!!! Bron haters mna kazi kweli kweli.
 
Game za leo zote zingekuwa mapema ingekuwa raha sana..nlitamani niwaone rockets tena lkn muda mbaya ndio mwanzo wa kusinzia siku nzima
 
Wewe jamaa ni prisoner of the moments. Yaani unaamini hao Sixers wana uwezo wa kumwangusha Bron na Cavs? Oh, sasa hivi narrative imebadilika, na kuwa East ni cakewalk!!! Bron haters mna kazi kweli kweli.
Braza Basket ball ni mchezo wa match ups, ndio maana OKC anaweza kucheza na GSW lakin alisumbuliwa na Jazz.

76ers wanaweza kucheza na Lebron lakin siwaoni Celtcs wakiweza.
Nakupa matchup ingine
Lebron akifika fainali kakutana na GSW atakula bonge ya L, lakini akikutana na Rockets ana chance kubwa tu ya kushinda
 
Leo Rondo na Davis wakiwa vzr kama last game GSW watakuwa na wakat mgumu
 
Braza Basket ball ni mchezo wa match ups, ndio maana OKC anaweza kucheza na GSW lakin alisumbuliwa na Jazz.

76ers wanaweza kucheza na Lebron lakin siwaoni Celtcs wakiweza.
Nakupa matchup ingine
Lebron akifika fainali kakutana na GSW atakula bonge ya L, lakini akikutana na Rockets ana chance kubwa tu ya kushinda

Matchup ya Sixers, ingewasumbua Cavs, lakini siyo kushinda series. Kushinda 4 games dhidi ya Bron na Cavs kwa upande wa East, kunahitaji zaidi ya matchup.

Sixers nani anaweza kumpunguza speed Bron? Ukim-double team, anatumia his passing prowess kuwachezesha wenzake. Ukimwekea mtu mmoja amkabe, hakuna wa kumweza. Na kuhusu yeye, hilo hata West hakuna mtu wa kumweza.

GSW mwaka jana, walichowaweza Cavs ni kuwakaba team mates wa Bron. Yaani walihakiksha hakuna team mate ambaye atakuwa comfortable na confident.
 
Naona leo pelicans anakufa mapema kwa mwendo huu
 
Warriors are impossible jamani
Nadhani huwa wana acha
Ili waka win game 5 Oracle
 
Matchup ya Sixers, ingewasumbua Cavs, lakini siyo kushinda series. Kushinda 4 games dhidi ya Bron na Cavs kwa upande wa East, kunahitaji zaidi ya matchup.

Sixers nani anaweza kumpunguza speed Bron? Ukim-double team, anatumia his passing prowess kuwachezesha wenzake. Ukimwekea mtu mmoja amkabe, hakuna wa kumweza. Na kuhusu yeye, hilo hata West hakuna mtu wa kumweza.

GSW mwaka jana, walichowaweza Cavs ni kuwakaba team mates wa Bron. Yaani walihakiksha hakuna team mate ambaye atakuwa comfortable na confident.
Unadhani na timu yyte ina yo deal na Cavs ina deal na Lebron!!!

Ni kuwa uki mtoa Lebron hawa wengine woote kwa Sixers hakuna wa kumatch

Halaf sixers wange kuwa wana drop 3pts nyingi huku Simons akosogea kwenye hoop
 
Straight eight years anaenda Finals (kama mwaka huu akienda), East tatizo kubwa ni Super Talents. Indiana Pacers walishawahi kufika game 7 kipindi cha PG13 na Roy Hibbert mpaka timu imesambaratika, kuna timu za East zimefia mikononi mwake kama hii Toronto inavyoenda kuvunjwa.

Kama huna 3 Best Franchise players kwenye timu huwezi kumshinda Bron, na GSW baada ya kujua hawamwezi wakamwongeza KD, hii ndo dawa pekee. Ile GSW ina vikosi 2 vinavyoweza kwenda Finals kila kimoja.

Houston hawana resources za kupambana naye.
 
Boss embu nitoe tongo tongo league pass system ipi decoder au online na je payment nafanyeje

Ni kwa mobile devices kama simu, PCs na tablets.

Ni online, unalipia unapewa password.

Payment ni kutumia Debit Card, kama vile kulipia online transactions.

Ingia Google Search NBA league pass, create account. Ni very easy.
 
Back
Top Bottom