Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,223
Utasubiri mkuu, maana LeBron hajataka kukabidhi kijiti bado.
haahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasubiri mkuu, maana LeBron hajataka kukabidhi kijiti bado.
Wewe jamaa ni prisoner of the moments. Yaani unaamini hao Sixers wana uwezo wa kumwangusha Bron na Cavs? Oh, sasa hivi narrative imebadilika, na kuwa East ni cakewalk!!! Bron haters mna kazi kweli kweli.Kwa matchup
76ers walikuwa wanamtoa Lebron yaan wakupita Celtics
Cavs ni.cakewalk to the finals
Braza Basket ball ni mchezo wa match ups, ndio maana OKC anaweza kucheza na GSW lakin alisumbuliwa na Jazz.Wewe jamaa ni prisoner of the moments. Yaani unaamini hao Sixers wana uwezo wa kumwangusha Bron na Cavs? Oh, sasa hivi narrative imebadilika, na kuwa East ni cakewalk!!! Bron haters mna kazi kweli kweli.
Braza Basket ball ni mchezo wa match ups, ndio maana OKC anaweza kucheza na GSW lakin alisumbuliwa na Jazz.
76ers wanaweza kucheza na Lebron lakin siwaoni Celtcs wakiweza.
Nakupa matchup ingine
Lebron akifika fainali kakutana na GSW atakula bonge ya L, lakini akikutana na Rockets ana chance kubwa tu ya kushinda
Nokia naomba link boss nimecheki YouTube Hamna kitu
GSW wanatoa somo kwa Pelicans na kuwakumbusha ni kaka zao kimchezo! Mpaka sasa ni 100-75!Naona leo pelicans anakufa mapema kwa mwendo huu
Unadhani na timu yyte ina yo deal na Cavs ina deal na Lebron!!!Matchup ya Sixers, ingewasumbua Cavs, lakini siyo kushinda series. Kushinda 4 games dhidi ya Bron na Cavs kwa upande wa East, kunahitaji zaidi ya matchup.
Sixers nani anaweza kumpunguza speed Bron? Ukim-double team, anatumia his passing prowess kuwachezesha wenzake. Ukimwekea mtu mmoja amkabe, hakuna wa kumweza. Na kuhusu yeye, hilo hata West hakuna mtu wa kumweza.
GSW mwaka jana, walichowaweza Cavs ni kuwakaba team mates wa Bron. Yaani walihakiksha hakuna team mate ambaye atakuwa comfortable na confident.
Daaah nakosa vitu vingi sana
Unadhani na timu yyte ina yo deal na Cavs ina deal na Lebron!!!
Ni kuwa uki mtoa Lebron hawa wengine woote kwa Sixers hakuna wa kumatch
Halaf sixers wange kuwa wana drop 3pts nyingi huku Simons akosogea kwenye hoop
Boss embu nitoe tongo tongo league pass system ipi decoder au online na je payment nafanyejeLIpia league pass, it's cheap, easy and simple.
Kwa mwezi ni 26,000/= wakati kwa season nzima ni 79,000/=.
Utainjoi sana.
Boss embu nitoe tongo tongo league pass system ipi decoder au online na je payment nafanyeje