Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ni 119-106! Naomba usiniulize mshindi ni nani 😀😀😀Matokeo jamani yapo vipi au Ndo game imeisha?
Boss, I have watched Bball longer than you may think. LBJ can not beat Celtics by himself, and that's the plan Celtics wanatumia and to make matter worse, Stevens is out-coaching Lue. This gonna be a long series and honestly, sina hope kabisa with this Cavs team!
It was okey all organizations wants to do better.
Wame draft 3 out of their 4 stars, adding 1 is not bad. Na KD alikuwa free agent no team wouldnt take KD!
Infact wakati wana mchukua durant walisha wahi mfunga lebron. It was 1-1
Though nakubali KD kaua competition ila sioni shida wao kumchukua KD
It's now confirmed, It is nearly impossible to beat the warriors 2 times in a series of 7 games..
Rockets nilidhani wanaweza kuleta changamoto tukashuhudia close game mpaka last minute. Lakini nao kama kawaida wamevurugwa third quarter..
Swaiba Nzi upo
Kwanza ni game 1 halafu baadhi washajitoa akili na kujisahaulisha it is KING JAMES REIGN.Okay, keep hoping.
Tulisema hivyo series 1 vs Oladipo and Co.
Naona tumesahau.
Nipo mazee. Naona snake anafanya mambo yake.It's now confirmed, It is nearly impossible to beat the warriors 2 times in a series of 7 games..
Rockets nilidhani wanaweza kuleta changamoto tukashuhudia close game mpaka last minute. Lakini nao kama kawaida wamevurugwa third quarter..
Swaiba Nzi upo
Tutegemee nini leo huko Boston? Je one-man-army LBJ atararua mtu au bado atakuwa anauguza majeraha ya juzi akisubiri kufanya vyake mbele ya home crowd weekend huko Quicken Loans Arena?Nipo mazee. Naona snake anafanya mambo yake.
End of third... Celtics: 84, Cavs: 77Huko TD Garden cavs had sa hivi yuko mbele
One minute to go 107-94...masikini Cavs!
Update
It is over and Celtics lead series 2-0