NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Game 4 Thompson alishindwa kuscore points ili waende OT, hii game DRaymond goti limezidi mkono kuuwahi Mpira, last second turnovers kwa close games ni costly.
Na Draymond pekee ndio mchezaji alo onekana kutaka kushinda leo ila he is not 3 shooter kwa nn wampe yeye?
Ngoja watolewe wakajifunze mambo madogo kama hayo
 
Na Draymond pekee ndio mchezaji alo onekana kutaka kushinda leo ila he is not 3 shooter kwa nn wampe yeye?
Ngoja watolewe wakajifunze mambo madogo kama hayo

Kuna three pointer kaifunga baada ya time out ya pili kutoka mwisho ikawa 94-95. Hii nahisi ndo chanzo cha yeye kupewa shot nyingine.
 
Hivi jaman mnamuona Tatum yaan hayupo kwenye game kabsa
Huwa inakuwaje hawa madogo wakiwa away hakuna wanacho fahya cha maana?
Wats wrong
wanaona bora wakamalizie kazi nyumbani kwao
Sasa kibao kikigeuka nyumbani watatafutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…