Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jamani Chris Paul yuko salama kweli pale?
Injuries ambazo mtu hajaguswa huwa ni mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Chris Paul yuko salama kweli pale?
Hope iwe hvyo bro!!Lets have a celtics vs rockets finals
Na Draymond pekee ndio mchezaji alo onekana kutaka kushinda leo ila he is not 3 shooter kwa nn wampe yeye?Game 4 Thompson alishindwa kuscore points ili waende OT, hii game DRaymond goti limezidi mkono kuuwahi Mpira, last second turnovers kwa close games ni costly.
Kwa kweli mchezo wa leo umepoa sana kwa timu zote...eti HT na score ni 45-45! Utadhani ni mchezo wa wanawake!
Na Draymond pekee ndio mchezaji alo onekana kutaka kushinda leo ila he is not 3 shooter kwa nn wampe yeye?
Ngoja watolewe wakajifunze mambo madogo kama hayo
McGee alipaswa awepo pia zile moments za mwishoKuna three pointer kaifunga baada ya time out ya pili kutoka mwisho ikawa 94-95. Hii nahisi ndo chanzo cha yeye kupewa shot nyingine.
McGee alipaswa awepo pia zile moments za mwisho
I think Warriors should just lose game 6 and go and regroup maana hawawez shinda game 2 mfululizo
Capela pamoja na Chriss Paul walikuwa on fireEric Gordon and P J Turker, Trevor and Capela were for real today.
Celtics amalize leo, Houston amalize tuone sura mpya Finals.
Capela pamoja na Chriss Paul walikuwa on fire
Mmh wakuu na sisi wazaramo tunaruhusiwa kucomment humu au ni nyie Wanyamwezi tu??
NiceCp3 will miss game 6 at the Orakle Arena
Why nice?Nice
Pole? Naona nilipitiwa...hebu nikumbushe tena ni timu ipi hiyo ambayo imetwaa kombe!Mkuu naomba nikupe pole kwa kakipigo ka leo, ingawa sina cha kufurahia sana maana kwangu ni hali tete.
wanaona bora wakamalizie kazi nyumbani kwaoHivi jaman mnamuona Tatum yaan hayupo kwenye game kabsa
Huwa inakuwaje hawa madogo wakiwa away hakuna wanacho fahya cha maana?
Wats wrong
They will get spanked at homewanaona bora wakamalizie kazi nyumbani kwao
Sasa kibao kikigeuka nyumbani watatafutana