Actually kama uliangalia hiyo game, kabla ya hiyo goaltending error, refs walifanya blunder nyingine kwa kufanya uamuzi juu ya out of bound, ambayo replays zilionyesha ni Young ndiye alikuwa wa mwisho kuugusa mpira kabla ya kutoka. Ila call ikawa Bron ndiye kaugusa mwisho.The Karma of Goaltending decision ya Lebron vs Oladipo?.]
The call that Draymond made after losing game 7 to Cavs, makes all that you have said baloney!!. Give them their due brother they fought to get where they are...hawakuwa na short-cuts kama timu zingine, they worked from scratch!
yaaah sureTusubiri game 2.
End of 3rd...90-80! Sasa tunaingia lala salama.Tunaenda kusteal moja Ohio then tunamaliza game 5..
What kind of defense would one make against a sniper (a softie according to [B]Nzi[/B] and a mediocre according to Billy Walters II!) who breaks the NBA record by landing 9 long range missiles in a finals match! This is crazy man!Hawa Cavs na Warriors wao hawapendi ku defendaana walikuwa wanatupiana vikapu tuu
A mediocre...What kind of defense would one make against a sniper (a softie according to [B]Nzi[/B][/USER and a mediocre according to @Billy Walters II!]) who breaks the NBA record by landing [B]9 long range missiles[/B] in a finals match! This is crazy man!
What kind of defense would one make against a sniper (a softie according to [B]Nzi[/B] and a mediocre according to Billy Walters II!) who breaks the NBA record by landing 9 long range missiles in a finals match! This is crazy man![/USER]
Nzi and other Cavs fans they are frustrated now .
They are too conservatives.[emoji2]
Am here to hear all the refs mistakes again
Where it was ?
Let's begin [emoji23]
Billy usikate tamaa hivyo [emoji2]Jahazi limezama tayari...
Mimi kwangu Finals zimeshaisha.
Conglats kwa GSWs.
Naunga mkono hoja. With Le bron in beast mode. Mpk isome 4-0, 4-1, 4-2 au 4-3 ndo unakuwa na uhakika.Billy usikate tamaa hivyo [emoji2]
Si mnakumbuka ile comeback ya msimu wa juzi .
Lebron ni mnyama
Ila akina Hill na JR ni sisismizi[emoji15]
Don't give up brother, [HASHTAG]#defendtheland[/HASHTAG], history could repeat itself...kings don't give up so easily to [HASHTAG]#softies[/HASHTAG] and [HASHTAG]#mediocres[/HASHTAG]!Jahazi limezama tayari...
Mimi kwangu Finals zimeshaisha.
Conglats kwa GSWs.
Naunga mkono hoja. With Le bron in beast mode. Mpk isome 4-0, 4-1, 4-2 au 4-3 ndo unakuwa na uhakika.