Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Actually kama uliangalia hiyo game, kabla ya hiyo goaltending error, refs walifanya blunder nyingine kwa kufanya uamuzi juu ya out of bound, ambayo replays zilionyesha ni Young ndiye alikuwa wa mwisho kuugusa mpira kabla ya kutoka. Ila call ikawa Bron ndiye kaugusa mwisho.The Karma of Goaltending decision ya Lebron vs Oladipo?.]