NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
The Karma of Goaltending decision ya Lebron vs Oladipo?.]
Actually kama uliangalia hiyo game, kabla ya hiyo goaltending error, refs walifanya blunder nyingine kwa kufanya uamuzi juu ya out of bound, ambayo replays zilionyesha ni Young ndiye alikuwa wa mwisho kuugusa mpira kabla ya kutoka. Ila call ikawa Bron ndiye kaugusa mwisho.
 
. Give them their due brother they fought to get where they are...hawakuwa na short-cuts kama timu zingine, they worked from scratch!
The call that Draymond made after losing game 7 to Cavs, makes all that you have said baloney!!
 
It is halftime and the score is 59-46, Warriors in the lead! Ngoja tusubiri ngwe ya pili.
 
Hawa Cavs na Warriors wao hawapendi ku defendaana walikuwa wanatupiana vikapu tuu
What kind of defense would one make against a sniper (a softie according to [B]Nzi[/B] and a mediocre according to Billy Walters II!) who breaks the NBA record by landing 9 long range missiles in a finals match! This is crazy man!
 
Nzi and other Cavs fans they are frustrated now .

They are too conservatives.[emoji2]

Am here to hear all the refs mistakes again

Where it was ?

Let's begin [emoji23]
 
Steph is on a whole 'nother level!

How can you defend someone who can pull from 40 deep like him?

GSW is Steph's team.
 
Naunga mkono hoja. With Le bron in beast mode. Mpk isome 4-0, 4-1, 4-2 au 4-3 ndo unakuwa na uhakika.

Not with that supporting cast!

So far LeBron mwenyewe ndo alijiweka kwenye hiyo position kwa kung'ang'aniza mikataba mibovu kwa kina TT na JR Smith, imeshindikana hata ku-create room kwa supporters wazuri.
 
Kivumbi leo uwanja wa Quicken Loans Arena mjini Cleveland ambapo mchezaji wa Warriors Iguodala anategemewa kuonekana uwanjani kwa mara ya kwanza toka hii fainali ianze. Je tutegemee nini katika mchezo huu? Je LBJ atakubali kufungwa mbele ya mashabiki wake kwenye uwanja wa nyumbani?

Mchezo unategemewa kuanza saa mbili usiku kwa saa za Cleveland sawa na saa tisa alfajiri kwa saa za nyumbani Tanzania. Wengine tumekesha tukiusubiri huu mchezo na hadi naandika bado dakika 45 kipenga kipigwe.
 
Back
Top Bottom