NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Mie ni mshabiki wa kutupa ila sina timu. Timu yoyote ile ichukue lakini si GSW. Nzi
Napenda achukue yeyote kasoro Cavs tuu

Sina shda na GSW ila kama it means finali ni GSW na Cavs ni bora wote wasiends nisha ichoka fainali yao.
 
Ndiyo. Raundi ya kwanza inaanza tarehe 14, keshokutwa.
GSW wangekutana na OKC ama Wolves kwenye 1st round, wangefungasha virago.
Lakini Spurs bila the Claw, sioni kama ni tishio kwao.
Na mimi nahisi hata wao Warriors wamefurahi kucheza na Spurs kuliko hata wangecheza lets say na Jazz
 
You must be one of those LBJ's haters, uh?
Siyo hater but jus not a fan!

Lebron anaponzwa na mashabiki wake ndio huwa wanafujo sana.
Lakin pia siyo Cavs fan tuu
 
LBJ all the way...

Ila natamani kumwona madevu anabeba ndoo kabla ya Westbrook
 

Mimi ni Warriors damu damu lakini kama nilivyosema tarehe 17 October 2017, nanukuu...​
Mwaka huu mambo hayatakuwa rahisi kama wengine wanavyofikiria. Ziko timu pamoja na kwamba hazivumi lakini zipo na baada ya kuzitazama kwa makini natabiri kazi ipo. Timu kubwa safari hii ziangalie sana la sivyo zinaweza kuathirika.

Nadhani wengi wenu mnakubaliana na utabiri wangu huo...
 
Mwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.
Rockets vs Cavs? You've got to be kidding!πŸ˜›πŸ™πŸ˜΅πŸ™„!
 
Reactions: BAK
Mwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.
Rockets vs 76ers tupate watu wapya itakaa poa

Rockets akikutana na Cavs aneza hata akashinda based on uzoefu. ila ikiwa Cavs na GSW tena Cavs anapotea vile vile.
 
It goes with maturity, CP3 kawaongezea uhai sana
Sana na kina Capela
Jamaa wako poa, ishu ni can they show up in play offs?
Will Warriors be healthy enough when they meet?

Hizi factors mbili ndio zita amua hatma ya Rockets
 
Hahaha
Utah wanawapeleka game saba kaka
Mechi itakuwa ngumu

ambao wangetusumbua wote wameondoka!Hayward (celtics-injured),Joe Johnson(rockets)
Sasa waliobaki pale tukimkaba Vizuri Rudy Gobert timu imeisha!Na Steve Adams atanmudu vizuri!Point Guard Rick Rubio kwa sasa sio mzuri kama misimu 4 iliyopita akiwa Minnesota!atakabika vizuri saaana na Russell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…