BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hawachukui mwaka huu labda kwa miujiza.
Hiyo ndo schedule ya first round?
Ila msimu huu GSW wako vulnerable sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo schedule ya first round?
Ila msimu huu GSW wako vulnerable sana.
Na mimi nahisi hata wao Warriors wamefurahi kucheza na Spurs kuliko hata wangecheza lets say na JazzNdiyo. Raundi ya kwanza inaanza tarehe 14, keshokutwa.
GSW wangekutana na OKC ama Wolves kwenye 1st round, wangefungasha virago.
Lakini Spurs bila the Claw, sioni kama ni tishio kwao.
You must be one of those LBJ's haters, uh?Napenda achukue yeyote kasoro Cavs tuu
Sina shda na GSW ila kama it means finali ni GSW na Cavs ni bora wote wasiends nisha ichoka fainali yao.
Siyo hater but jus not a fan!You must be one of those LBJ's haters, uh?
Tunakutana na Utah Jazz wale tunawamudu hatufiki nao game 7
Hawachukui mwaka huu labda kwa miujiza.
Harden asipo beba mwaka huu nadhani atasubiri sanaa.LBJ all the way...
Ila natamani kumwona madevu anabeba ndoo kabla ya Westbrook
Mwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.Harden asipo beba mwaka huu nadhani atasubiri sanaa.
Sema Harden wa Playoffs naye simwamini
Harden asipo beba mwaka huu nadhani atasubiri sanaa.
Sema Harden wa Playoffs naye simwamini
Mwaka huu mambo hayatakuwa rahisi kama wengine wanavyofikiria. Ziko timu pamoja na kwamba hazivumi lakini zipo na baada ya kuzitazama kwa makini natabiri kazi ipo. Timu kubwa safari hii ziangalie sana la sivyo zinaweza kuathirika.
Nadhani wengi wenu mnakubaliana na utabiri wangu huo...
Who you got?Mwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.
Rockets vs Cavs? You've got to be kidding!😛🙁😵🙄!Mwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.
Rockets vs 76ers tupate watu wapya itakaa poaMwaka huu ana mtu wa kumsaidia lakini. Rockets vs. Cavs itakuwa epic.
[HASHTAG]#WhatEverItTakes[/HASHTAG]Who you got?
[HASHTAG]#WhatEverItTakes[/HASHTAG]Rockets vs Cavs? You've got to be kidding!😛🙁😵🙄!
Sana na kina CapelaIt goes with maturity, CP3 kawaongezea uhai sana
Hahaha
Utah wanawapeleka game saba kaka
Mechi itakuwa ngumu