Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No 1 Top seed kweli anapigwa sweep!!Aibu kwa wazee wa WeTheNorth
Is it a suprise kwa lebron kuwafunga raptors?Juzi aliitwa LeBronto, leo ni LeBroom.
Jamaa anaendelea kufanya surprise kwa wapinzani, mwanzo wa hizi pre season watu walimfuta kabisa jamaa kwenda finals.
Is it a suprise kwa lebron kuwafunga raptors?
Tegemeo langu la lebron kutoka lilikuwa ni Pacers ambao ni timu changa sana kwake.To those who wrote him off after losing game 1, then 3 to Pacers it is yes.
Unaweza kusema key plays ambapo marefa waliwauwa Pacers?Tegemeo langu la lebron kutoka lilikuwa ni Pacers ambao ni timu changa sana kwake.
Na marefa waliwaua sana madogo.
.
Game fiveUnaweza kusema key plays ambapo marefa waliwauwa Pacers?
Game five
Goaltending ya lebron , ile ndio iliua series yote,
kama ma refa wasinge zingua Pacers walikuwa wana shinda
Kuwa specific, usi-generalise kama mlevi tu. Taja exact plays.Hapo bado kuna game 2 na 7 pa ers walikuwa wanatafutiwa fauls zisizo na vichwa wala miguu.
Ile series maamuzi mabovu yali iharibu
The dumb arguement ni kuwa kila kitu kingebadilika kabla ya kabla ya maamuzi.Je, vipi refa ku-miss out of bound call few seconds kabla ya hiyo goal-tend call?
Angalia hii clip, utaona mpira ulimgusa Young na kugonga mstari wa nje, ndipo ukagonga Bron. Lakini ulikuwa umeshatoka nje kabla ya kumgonga Bron.
Hii ni excuse ambayo imeshapitwa na wakati. Kwa hiyo marefa ndiyo walimfanya Oladipo a-shoot 5/20 kwenye game 4, tena homecourt? Je, marefa walimfanya Oladipo a-shoot 2/15 kwenye game 5?
Kuwa specific, usi-generalise kama mlevi tu. Taja exact plays.
The dumb arguement ni kuwa kila kitu kingebadilika kabla ya kabla ya maamuzi.
Goaltebding was the match decider, it had the last impact of the match so it weighs more.
Kipindi cha series sku wepo ningekuwa na argue that time, yaan siwez kuchukua kila faulo na advantage alopewa lebron. nikuletee wewe eti kisa niprove kwako kuwa marefa waliiua series.
Hakuna haja ya kuitana walevi its just basket ball mjomba.
Namu naunga mkono itakuwa decision nzuri sanaNakumbuka reaction ya baadhi ya wacheza wa NBA maamuzi mbali mbali kwenye hizi playoffs na baadhi kudai kuwepo na accountability ya umpire pale wanapofanya maamuzi yenye makosa. Mie naunga mkono hoja itasaidia kuongeza umakini wa umpire/referees.