Arthur Andrew
Member
- Sep 5, 2011
- 9
- 2
Ahsante sn BAK, Worldsports14 waliniingiza chaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sn BAK, Worldsports14 waliniingiza chaka
Hahaha Man!Hawa wachezaji wa kikapu wengi ni wajukuu wa mfalme Ogu mnefili
Ahsante sn BAK, Worldsports14 waliniingiza chika
Kwese huwa wanatoa EAT kwenye matangazo yao!Pole ni Alfajiri kwa saa za EAT.
Mkuu I don't see hawa jamaa wakitoka hii series (Cavs), wamerudi to who they were before playoff. Celtics wamechukua game plan ya Pacers but a notch higher
Ila regular season means shit if you are not champions kwa kweli.Utakuwa umeanza kumwangalia LeBron juzi mkuu, PG13 akiwa na Roy Hibbert na Lance walishajaribu sana mpaka wakasambaratika, hawa Boston walisambaratika hivyo hivyo wakaanza mwanzo, Bulls, umeona Toronto.
Hawa bado sana, GSWs walishtukia mchezo baada ya kuflop 3 - 1 wakamwongeza KD kwenye timu yenye regular season best record ever 73/9.
Bado sana.
Ila regular season means shit if you are not champions kwa kweli.
Sasa Bron, itabidi aungane na the Claw.GSWs iliwauma sana kupoteza zile Finals kwa LeBron, ndo kuhakikisha KD anatua ndani.
It was okey all organizations wants to do better.GSWs iliwauma sana kupoteza zile Finals kwa LeBron, ndo kuhakikisha KD anatua ndani.
Claw huyu huyu ambaye amekuwa a ghost as of recent?!?Sasa Bron, itabidi aungane na the Claw.
Japo nilikuwa siungi mkono Cassey kufukuzwa ila jana nilipo waona Caktics nilikubali kuwa Raptors had to react kwa kweli ile ilikuwa aibu.Dear Toronto,
Thank you.
Thank you to basketball fans across this city and the country of Canada who supported the Raptors and welcomed my family with open arms during our seven years here. Thank you to all the fans who cheered us on at the Air Canada Centre while we built this program into a playoff contender, packed Jurassic Park even in the cold and rain, watched the games from home and offered their undying support as we traveled this road to relevancy together.
Thank you for teaching our all-American family the Canadian way. That being polite and considerate to one another is always the best way. That diversity is something to be embraced and celebrated. That taking the time to learn about each other's cultures is the surest way to find common ground and understanding. Thank you for making our children feel safe, valued, and comfortable in their own skin. We cannot express how important it has been to build the foundations of who our children are as human beings in a country that shows through its words, actions and laws that all people deserve basic human rights, and a chance to reach their goals through education and hard work.
Casey went on to thank many members of the Raptors organization, from the front office to the coaching staff and players, to support and security staff.
'An unbelieveable human being'
He finished by writing:
"Coaches know that this is an industry built on change, and we willingly accept that reality. They say that 'Home is not a place ... it's a feeling;' so thank you Toronto for making us feel at home here. Thank you for supporting our family, for offering us your friendship and for teaching us the Canadian way. Farewell, Dwane, Brenda, Justine & Zachary Casey"
Utakuwa umeanza kumwangalia LeBron juzi mkuu, PG13 akiwa na Roy Hibbert na Lance walishajaribu sana mpaka wakasambaratika, hawa Boston walisambaratika hivyo hivyo wakaanza mwanzo, Bulls, umeona Toronto.
Hawa bado sana, GSWs walishtukia mchezo baada ya kuflop 3 - 1 wakamwongeza KD kwenye timu yenye regular season best record ever 73/9.
Bado sana.
Japo nilikuwa siungi mkono Cassey kufukuzwa ila jana nilipo waona Caktics nilikubali kuwa Raptors had to react kwa kweli ile ilikuwa aibu.
Tatizo ni kuwa Rapotrs wako caplocked hawa wezi kuwatoa kina demar mpaka mwakani hata wakisema wawatrade hawata pata fair trade. The only option was to get rid of the coach as they thought players were good but they jus needed a new voice.Sijui hawa Celtics na Raptors ni nani mwenye bajeti ndogo inapokuja kwenye players salaries. Wakati mwingi BURE GHALI. Raptors kwenye usajili wa free agents July watafute wachezaji wazuri watatu na kuwatema wale wazungu wawili ili kupambana tena mwakani lakini nina wasiwasi hilo halitatokea na kuna uwezekano mkubwa Lowry na Demar wote kuomba trade kama hawaridhiki na usajili wa free agents.