NBA 2018/2019 is here...

GSW watatembeza bakora as usual
Warriors hawataki kuwaogopesha wenzao kihivyo na ndio maana Steve Kerr hana nia wala sababu ya kuvunja rekodi zote za NBA ingawa uwezo wanao...ha ha haa!
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Warriors hawataki kuwaogopesha wenzao kihivyo na ndio maana Steve Kerr hana nia wala sababu ya kuvunja rekodi zote za NBA ingawa uwezo wanao...ha ha haa!
 
Rockets...80
Thunder...98

Celtics...116
Suns......109
 
Warriors leo wanapewa somo na Millwaikee Bucks...hiki kipigo hawatakisahau kirahisi. Mpaka sasa dakika ya 9:20 kipindi cha mwisho Warriors 91, Bucks 110!
 
Warriors leo wanapewa somo na Millwaikee Bucks...hiki kipigo hawatakisahau kirahisi. Mpaka sasa dakika ya 9 kipindi cha mwisho Warriors 91, Bucks 110!
Final quarter wamepoteana
 
Sisi Blazers tuna sema mdogo mdogo mpaka kieleweke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mapenzi toka moyoni.
Warriors hawataki kuwaogopesha wenzao kihivyo na ndio maana Steve Kerr hana nia wala sababu ya kuvunja rekodi zote za NBA ingawa uwezo wanao...ha ha haa!
 
It is over...

Warriors...111
Bucks.......134

Kwa kweli hiki ni kipigo hasa! Tena nyumbani kwao Oracle, Oakland!
 
So? Unataka kusema nini ndugu yangu! Kwamba msimu wa 2019/20120, GSW hawatakuwa chochote? Endelea kuota ndoto, hao uliowataja wengi wao walishatamka kitambo kwamba watang'atuka/ kustaafu wakiwa Warriors. Kwao ni GSW or bust!
Hujajibu hoja yangu! Four max contracts itawezekanaje? Na KD keshasema anataka super max. Dray ulimsikia juzi anataka DPOY. Unajua kwanini, kwa sababu naye anataka super max contract. Hapo bado Iggy na Livingston, hawajaja kwenye picha.
 
KD nadhani ataondoka baada ya hii season, kuna uwezekano mkubwa NY ikawa destination yake, rings kashapata.

GSW hawataweza kuwa accommodate wote wa 4, nasubiri kuona kama hata watatu inawezekana.
 
Jimmy Butler going to 76ers, personally I am not in favor of this trade, I real don't see how he meshes with Ben and Joe.

It's Ben and Joe's team, Butler's going to disrupt the process.

My opinion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…