Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warriors hawataki kuwaogopesha wenzao kihivyo na ndio maana Steve Kerr hana nia wala sababu ya kuvunja rekodi zote za NBA ingawa uwezo wanao...ha ha haa!
Final quarter wamepoteanaWarriors leo wanapewa somo na Millwaikee Bucks...hiki kipigo hawatakisahau kirahisi. Mpaka sasa dakika ya 9 kipindi cha mwisho Warriors 91, Bucks 110!
Warriors hawataki kuwaogopesha wenzao kihivyo na ndio maana Steve Kerr hana nia wala sababu ya kuvunja rekodi zote za NBA ingawa uwezo wanao...ha ha haa!
OKC, Celtic na blazers wanashindaView attachment 926927
Em tulia kwanza
Hujajibu hoja yangu! Four max contracts itawezekanaje? Na KD keshasema anataka super max. Dray ulimsikia juzi anataka DPOY. Unajua kwanini, kwa sababu naye anataka super max contract. Hapo bado Iggy na Livingston, hawajaja kwenye picha.So? Unataka kusema nini ndugu yangu! Kwamba msimu wa 2019/20120, GSW hawatakuwa chochote? Endelea kuota ndoto, hao uliowataja wengi wao walishatamka kitambo kwamba watang'atuka/ kustaafu wakiwa Warriors. Kwao ni GSW or bust!
Hujajibu hoja yangu! Four max contracts itawezekanaje? Na KD keshasema anataka super max. Dray ulimsikia juzi anataka DPOY. Unajua kwanini, kwa sababu naye anataka super max contract. Hapo bado Iggy na Livingston, hawajaja kwenye picha.
BLAZERS WIN! BLAZERS WIN!
10~3
BLAZERS WIN! BLAZERS WIN!
10~3
https://www.jamiiforums.com/attachments/keepcalm-jpg.935563/BLAZERS WIN! BLAZERS WIN!
10~3
And they say Bron isn’t a scorer!!
And they Bron isn’t a scorer!!