Mzee you're dreaming....Lakers kwa game zile though wanacheza vizuri hawawezi kuwa dethrone GSW.
Sawa mkuu nimekusoma....ila Cleveland Cavaliers wanatia huruma....naona LJ amehama na mashabiki wake [emoji1][emoji1][emoji1]Not a dream, just a question
Hapana mkuu, Lakers wanashinda hii gameGames za kesho asubuhi.
Cavalier wanapigwa
Trail Blazers wanashinda
Celtics na OKC hapa pagumu
Lakers wanapigwa kwa mara nyingine tena View attachment 910073
Hapana mkuu, Lakers wanashinda hii game
Games za kesho asubuhi.
Cavalier wanapigwa
Trail Blazers wanashinda
Celtics na OKC hapa pagumu
Lakers wanapigwa kwa mara nyingine tena View attachment 910073
Stephen Curry is fun to watch. Asipopata injury na Kama ataendelea kucheza hivi..MVP no doubt
Stephen Curry is fun to watch. Asipopata injury na Kama ataendelea kucheza hivi..MVP no doubt
Nampenda sana Giannis AntentokoumpoStephen Curry is fun to watch. Asipopata injury na Kama ataendelea kucheza hivi..MVP no doubt
Ngoja tuone mkuu nishaandaa kitita cha kutosha kuwapa Lakers handicap ya +6.5 odds 1.54 ingawa anashinda hii gameHiyo sahau kabisa, Lakers anakaa.
Blazers mechi ngumuBoston game iliyopita wamecheza utumbo kabisa. Lakini hiyo game yao na OKC naimani watafanya vizuri, hawato kubali kufugwa tena. Blazers sina mashaka nao hawa wako katika kiwango kizuri kabisa. Napata mashaka hawa Cavaliers wamekuwa vipi Msimu huu? Hayo ni Maswali yanayo itaji upembuzi yakinifu. Lakers sina mashaka kichapo kiko pale pale.
Curry mbona mzuri sana kwenye 3 pointer sijui utamshindanisha na nani. Harden nasikia kaumia, Rockets wana hali ngumu sana msimu huuBado mapema mno. Msimu huu NBA imekuwa ya ushindani sana, timu kubwa zinagogwa tu. Pia kuna watu wa kuwangalia tofauti na huyo Curry. Lakini zaidi ya yote mda utasema kila kitu.
Curry mbona mzuri sana kwenye 3 pointer sijui utamshindanisha na nani. Harden nasikia kaumia, Rockets wana hali ngumu sana msimu huu
Blazers mechi ngumu
Lillard ni mzuri lakini kwenye mambo ya kushoot sidhani kama anafua dafu kwa Klay Thompson au hata yule dogo Devin BookerLillard humuoni kuwa na yeye ni mzuri katika hizo 3 pointer. Lakin sijasema kuwa analingana kiwango na Curry.
Ngoja tuone mkuu nishaandaa kitita cha kutosha kuwapa Lakers handicap ya +6.5 odds 1.54 ingawa anashinda hii game
Lillard ni mzuri lakini kwenye mambo ya kushoot sidhani kama anafua dafu kwa Klay Thompson au hata yule dogo Devin Booker
He's a great ball handler, good shooter but not one of the bestMkuu acha kumdhalilisha Lillard namna hiyo.
Let's wait and see.Mkuu unajitoa ufahamu kuwa huwajui vizuri Nuggets?? Nuggets wako vizuri mno ujue kuwa naoongoza kwa 4-0. Rondo na Ingram hawa jamaa ni watu muhimu sana pale Lakers lakini wote wana suspension. Unakutana na timu kama Nuggets alafu huna hawa watu unategemea nini. Rondo ndio ametoa assist nyingi kwa kila mchezo katika timu ya Lakers.