NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Games za kesho asubuhi.

Cavalier wanapigwa
Trail Blazers wanashinda
Celtics na OKC hapa pagumu
Lakers wanapigwa kwa mara nyingine tena
Screenshot_20181025-093057.jpeg
 
Stephen Curry is fun to watch. Asipopata injury na Kama ataendelea kucheza hivi..MVP no doubt
 
Boston game iliyopita wamecheza utumbo kabisa. Lakini hiyo game yao na OKC naimani watafanya vizuri, hawato kubali kufugwa tena. Blazers sina mashaka nao hawa wako katika kiwango kizuri kabisa. Napata mashaka hawa Cavaliers wamekuwa vipi Msimu huu? Hayo ni Maswali yanayo itaji upembuzi yakinifu. Lakers sina mashaka kichapo kiko pale pale.
Games za kesho asubuhi.

Cavalier wanapigwa
Trail Blazers wanashinda
Celtics na OKC hapa pagumu
Lakers wanapigwa kwa mara nyingine tena View attachment 910073
 
Bado mapema mno. Msimu huu NBA imekuwa ya ushindani sana, timu kubwa zinagogwa tu. Pia kuna watu wa kuwangalia tofauti na huyo Curry. Lakini zaidi ya yote mda utasema kila kitu.
Stephen Curry is fun to watch. Asipopata injury na Kama ataendelea kucheza hivi..MVP no doubt
 
Boston game iliyopita wamecheza utumbo kabisa. Lakini hiyo game yao na OKC naimani watafanya vizuri, hawato kubali kufugwa tena. Blazers sina mashaka nao hawa wako katika kiwango kizuri kabisa. Napata mashaka hawa Cavaliers wamekuwa vipi Msimu huu? Hayo ni Maswali yanayo itaji upembuzi yakinifu. Lakers sina mashaka kichapo kiko pale pale.
Blazers mechi ngumu
 
Bado mapema mno. Msimu huu NBA imekuwa ya ushindani sana, timu kubwa zinagogwa tu. Pia kuna watu wa kuwangalia tofauti na huyo Curry. Lakini zaidi ya yote mda utasema kila kitu.
Curry mbona mzuri sana kwenye 3 pointer sijui utamshindanisha na nani. Harden nasikia kaumia, Rockets wana hali ngumu sana msimu huu
 
Lillard humuoni kuwa na yeye ni mzuri katika hizo 3 pointer. Lakin sijasema kuwa analingana kiwango na Curry.

Lillard ni mzuri lakini kwenye mambo ya kushoot sidhani kama anafua dafu kwa Klay Thompson au hata yule dogo Devin Booker
 
Mkuu unajitoa ufahamu kuwa huwajui vizuri Nuggets?? Nuggets wako vizuri mno ujue kuwa naoongoza kwa 4-0. Rondo na Ingram hawa jamaa ni watu muhimu sana pale Lakers lakini wote wana suspension. Unakutana na timu kama Nuggets alafu huna hawa watu unategemea nini. Rondo ndio ametoa assist nyingi kwa kila mchezo katika timu ya Lakers.
Ngoja tuone mkuu nishaandaa kitita cha kutosha kuwapa Lakers handicap ya +6.5 odds 1.54 ingawa anashinda hii game
 
Mkuu unajitoa ufahamu kuwa huwajui vizuri Nuggets?? Nuggets wako vizuri mno ujue kuwa naoongoza kwa 4-0. Rondo na Ingram hawa jamaa ni watu muhimu sana pale Lakers lakini wote wana suspension. Unakutana na timu kama Nuggets alafu huna hawa watu unategemea nini. Rondo ndio ametoa assist nyingi kwa kila mchezo katika timu ya Lakers.
Let's wait and see.
 
Back
Top Bottom