Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lillard yuko moto sana leo, Portland defence is superb.
Wana mechi ngumu na Timberwolves, angefikisha 45+ pointsAmebaniwa 4th quarter baada ya kuona wameisha shinda.
Wazee niaje? Kumepooza sana huku siku hizi!
Nani kaangalia game ya jana Rockets vs Warriors?
Hivi wale marefa ina maana hawakuona kabisa kuwa KD alitoka nje? Talk about kubebwa!
Final score inapaswa kuwa Rockets 135 na Warriors 132 [siyo 134].
Naona kocha wa Warriors anaipatapata kutoka kwa mashabiki wa the Dub Nation lakini sidhani kama kuna wasi wasi sana. Mpaka sasa watumbuaji wa GSW wamekuwa wakipeana zamu nani ashushe mvua siku hiyo lakini siku watakapoamua kutopokezana naona rekodi za ligi zitavunjwa na kupondwapondwa.Kusema ukweli nimeshanhazwa na vipigo vya GSW aisee naona RAIA wametukamia sana na raia wetu wanaleta mazoea kwenye game za msingi
Sijui ndio wanasave energy for playoff au ndio nini.
Anyway bado naamini playoff watakuwa serious hasa kuliko sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah aiseee sijui ndo kikosi kimechoka au vipi mi naona
After this season baadhi ya players waachiwe waende zao hasa wale kuja wasio na mizizi katika timu
Wale damu changa zenye mwamko wa ushindani wakasaidiane na akina curry na klay na dreymond
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi, umeuangalia mchezo wa leo kati seed one na seed two West? Kwa kweli Warriors nadhani wameamua kuwa sasa basi, hawataki tena utani. Trio ya Curry, Durant na Klay ni hatari sijawahi kuona, duh!
Mwisho wa mchezo Warriors 142, Nuggets 111. Qr ya kwanza vikapu 51 kwa 38!
Hebu fikiria siku ambayo Steph Curry, Klay Thompson na Kevin Durant watakaposema kama keba ni keba! Nawaambieni hapatakalika na historia ya basketball nchini Marekani (na duniani) itabidi iandikwe upya.Leo ilikuwa mwana ukome
Hebu fikiria siku ambayo Steph Curry, Klay Thompson na Kevin Durant watakaposema kama keba ni keba! Nawaambieni hapatakalika na historia ya basketball nchini Marekani (na duniani) itabidi iandikwe upya.
Hebu shuhudieni kidogo tu maajabu ya Steph Curry peke yake...
Na hivi ndivyo walivyoitafuna Denver Nuggets...
Eti unasemaje? Wanacheza na timu gani? Mchezo wa leo umeishaje? Bahati mbaya nimebanwa kidogo siwezi kuutazama kwa sasa, hebu tupe mrejesho.Hypothetical. BTW leo wako wanakula kichapo nyumbani kwao kutoka kwa NOP. Nadhani unaangalia game.