NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Wakuu nipeni prediction za over leo hasa NBA na pia Development Lg
 
Nimefurahi kuona Cousins ameanza kucheza,now team USA imekamilika ni mwendo wa kunipigia tu wapinzani..!
Ila GSW inaboa sana aisee,inakuaje timu inakuwa na starters ambao wote ni all-stars..!
Mashabiki wa GSW tunafurahi,lakini haiko fair,ni uonevu..!
Hehehehehe

Mkuu hio nao ni trick ya kibiashara in and out of the court

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hama hama zinaharibu momentum sana kwenye ushabiki, sasa hivi nimeamua kumshabikia LeBron kimya kimya, na hii ni kwa sababu siipendi Lakers kabisa.
Kwa hiyo ukaamua pia na kuisahau kabisa CAVs au siyo. Vipi kama wewe ni YANGA halafu mchezaji unayempenda sana akahamia SIMBA, je utahama naye au vipi? CAVs leo hii wameshinda michezo 11 tu kati ya 41, sasa swali, je huko awali zilikuwa ni juhudi za LeBron tu peke yake au timu nzima? Upi ni utabiri wako kwa mwaka huu, ubingwa utachukuliwa na timu gani? Ya East au West?
 
Kwa hiyo ukaamua pia na kuisahau kabisa CAVs au siyo. Vipi kama wewe ni YANGA halafu mchezaji unayempenda sana akahamia SIMBA, je utahama naye au vipi? CAVs leo hii wameshinda michezo 11 tu kati ya 41, sasa swali, je huko awali zilikuwa ni juhudi za LeBron tu peke yake au timu nzima? Upi ni utabiri wako kwa mwaka huu, ubingwa utachukuliwa na timu gani? Ya East au West?

Tofauti ya soccer na basketball ni kwamba kuondoka kwa star player hakuwezi kuwa na impact kubwa sana kwenye soccer kama ukilinganisha na basketball.

Ingawa pia inatokea, mfano Ronaldo kuondoka RMD, kuna baadhi wamehama naye, sasa hivi uwanja haujai RMD kama kipindi cha nyuma.

Ubingwa: Natabiri GSW watashinda tena. Sioni timu yoyote ya kuvuka 6 games kwenye playoffs vs GSW.

Kuhusu Cavs: That goes without saying, LeBron aliondoka 2010, kwa miaka minne mfululizo Cavs ilikuwa lottery team, alivyorudi imecheza 4 finals straight, na sina stats lakini kwa miaka yote minne Cavs alishinda michezo michache siku LeBron asipocheza (chini ya 25%). Hapo hatuna budi kutosema kwamba ulikuwa mchango binafsi.
 
Pamoja na makombora 10 ya mbali (3-pts) kutoka kwa Steph Curry, Warriors wasalimu amri nyumbani kwao Oracle kwa 76ers. Hadi mwisho wa mchezo 76ers: 113, Warriors 104. Mpaka H/T Warrior ndio walikuwa mbele kwa point 7 na ni kipindi cha tatu (3rd Qr) kilichopelekea kilio Oracle. Embiid na Simmons wa 76ers hawakutaka mchezo na kuwafunika kabisa GSW Cousins (The Boogie) akiwa ndani.!
 
James Harden is doing it all alone, kwa mwendo huu siwaoni wakivuka first round kwenye playoffs. Akikabwa yeye tu kazi kwisha, ni Iso ball mwanzo mpaka mwisho, no ball movement
 
James Harden is doing it all alone, kwa mwendo huu siwaoni wakivuka first round kwenye playoffs. Akikabwa yeye tu kazi kwisha, ni Iso ball mwanzo mpaka mwisho, no ball movement
Tarehe 23/1/2019 James Harden alivunja rekodi kwa kupata pts 61 katika mchezo ambapo Rockets iliifunga Knicks 114-110. Kati ya hizo pts yeye peke yake alipewa free throws 25 huku wenzake wote kwa pamoja wakipewa 13 tu na kufanya jumla ya free throws kuwa 38!

Katika mchezo wa leo James Harden kapata pts 43, kati ya hizo 15 zilitokana na free throws alizopewa sawa na asilimia 34%! Kuna mechi moja idadi ya free throws alizopewa yeye peke yake ilikuwa ni zaidi ya jumla ya free throws walizopewa wachezaji wote wa pande zote mbili kwa pamoja.

Hizi ni rekodi ambazo haziwezi kuvunjwa na mchezaji yeyote mwingine isipokuwa labda James Harden mwenyewe. Wanachojiuliza washabiki wa huu mchezo ni kwamba inakuwaje mtu moja katika wachezaji zaidi ya 200 kwenye NBA ni James Harden peke yake anayenufaika na free throws kwa kiwango hicho?
 
471a73ffb3234f15a517760b93a78c6d.jpg

April 13 sio mbali
 
Aisee kuumia kwa Nurkic kutatuumiza sana Blazers katika game za play offs

MGC
 
My prediction finals: GSW vs Bucks (Warriors in 6)
Finals MVP: Steph Curry

-Tall Guy Fam(01/04/19)
 
My prediction finals: GSW vs Bucks (Warriors in 6)
Finals MVP: Steph Curry

-Tall Guy Fam(01/04/19)
Amka achana na ndoto za mchana. Huyo GSW atachakazwa zibaya mno na Oklahoma first round ya play off.

MGC
 
Hata mimi mkuu. Hakika #OneLastDance itakuwa nzuri.
Changamoto inakuja kwamba kama akiendelea kwenye nafas ya 8 anakutana na Bucks ambao wako vizuri

Ratiba ya Heats ni ngumu sana, sidhani kama watatoboa.

Game zilizobaki ni tight.
 
Back
Top Bottom