Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheheheNimefurahi kuona Cousins ameanza kucheza,now team USA imekamilika ni mwendo wa kunipigia tu wapinzani..!
Ila GSW inaboa sana aisee,inakuaje timu inakuwa na starters ambao wote ni all-stars..!
Mashabiki wa GSW tunafurahi,lakini haiko fair,ni uonevu..!
Kuna kitu kinanitatiza kidogo hapa, hivi wale waliokuwa mashabiki wa CAVs #defendtheland walihama na King LeBron au vipi? Kama walihama naye mbona siwaoni wakiipigia tafu LA Lakers?
C.C. Nzi, Kingfisher, Lizarazu, Mtoto wa nzi, Iceman 3D, Raimundo, Don Clericuzio, AbaMukulu...na King's subjects wengineo
Kwa hiyo ukaamua pia na kuisahau kabisa CAVs au siyo. Vipi kama wewe ni YANGA halafu mchezaji unayempenda sana akahamia SIMBA, je utahama naye au vipi? CAVs leo hii wameshinda michezo 11 tu kati ya 41, sasa swali, je huko awali zilikuwa ni juhudi za LeBron tu peke yake au timu nzima? Upi ni utabiri wako kwa mwaka huu, ubingwa utachukuliwa na timu gani? Ya East au West?Hizi hama hama zinaharibu momentum sana kwenye ushabiki, sasa hivi nimeamua kumshabikia LeBron kimya kimya, na hii ni kwa sababu siipendi Lakers kabisa.
Kwa hiyo ukaamua pia na kuisahau kabisa CAVs au siyo. Vipi kama wewe ni YANGA halafu mchezaji unayempenda sana akahamia SIMBA, je utahama naye au vipi? CAVs leo hii wameshinda michezo 11 tu kati ya 41, sasa swali, je huko awali zilikuwa ni juhudi za LeBron tu peke yake au timu nzima? Upi ni utabiri wako kwa mwaka huu, ubingwa utachukuliwa na timu gani? Ya East au West?
Tarehe 23/1/2019 James Harden alivunja rekodi kwa kupata pts 61 katika mchezo ambapo Rockets iliifunga Knicks 114-110. Kati ya hizo pts yeye peke yake alipewa free throws 25 huku wenzake wote kwa pamoja wakipewa 13 tu na kufanya jumla ya free throws kuwa 38!James Harden is doing it all alone, kwa mwendo huu siwaoni wakivuka first round kwenye playoffs. Akikabwa yeye tu kazi kwisha, ni Iso ball mwanzo mpaka mwisho, no ball movement
Kwangu nimeenda Lakers na LBJ.Kuna kitu kinanitatiza kidogo hapa, hivi wale waliokuwa mashabiki wa CAVs #defendtheland walihama na King LeBron au vipi? Kama walihama naye mbona siwaoni wakiipigia tafu LA Lakers?
C.C. Nzi, Kingfisher, Lizarazu, Mtoto wa nzi, Iceman 3D, Raimundo, Don Clericuzio, AbaMukulu...na King's subjects wengineo
Kwangu nimeenda Lakers na LBJ.
Na kwa ligi hii tayari LBJ kashaikosa post season the first time after 14 years of his career.
Hata mimi mkuu. Hakika #OneLastDance itakuwa nzuri.Naombea Wade acheze playoffs.
Amka achana na ndoto za mchana. Huyo GSW atachakazwa zibaya mno na Oklahoma first round ya play off.My prediction finals: GSW vs Bucks (Warriors in 6)
Finals MVP: Steph Curry
-Tall Guy Fam(01/04/19)
Hata mimi mkuu. Hakika #OneLastDance itakuwa nzuri.
Changamoto inakuja kwamba kama akiendelea kwenye nafas ya 8 anakutana na Bucks ambao wako vizuri
My prediction finals: GSW vs Bucks (Warriors in 6)
Finals MVP: Steph Curry
-Tall Guy Fam(01/04/19)
Unaota weweAmka achana na ndoto za mchana. Huyo GSW atachakazwa zibaya mno na Oklahoma first round ya play off.
MGC