Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
-
- #21
@Antetokounmpo ulianzAJE kusapot celtics..nipe info historia kidogo.Mchezo wa Basketball unachezwa ndani ya vipnd 4...vnaenda kwa majna ya quarter na kila quarter ina dakika 12
Basketball inachezwa na wachezaji wa 5 kwa kila upande.
Inaruhusiwa kubadil wachezaji wote wa 5 .
Kocha anaruhusiwa kuomba mchezo usimame ili aongee na wachezaji wake (tunaita Time Out)
Ana energy hatariHapa mtu mbaya ni Ja Morant...I respect this kid aisee
[emoji2][emoji2] asee mkuu mi nilianza sapoti Boston's mwaka 2008...walinivutia sana akna Paul pierce, Ray Allen Kelvin Gannett na rookie wetu Rajon rondo enzi hizo....asee ni hatar mazeee@Antetokounmpo ulianzAJE kusapot celtics..nipe info historia kidogo.
Waooh..yani tunafanaan story mkuu..duuuuh..ndio maaana nikakuuliza.[emoji2][emoji2] asee mkuu mi nilianza sapoti Boston's mwaka 2008...walinivutia sana akna Paul pierce, Ray Allen Kelvin Gannett na rookie wetu Rajon rondo enzi hizo....asee ni hatar mazeee
But skuhz tumekua Average Team NBA....too bad.Waooh..yani tunafanaan story mkuu..duuuuh..ndio maaana nikakuuliza.
Hata mimi ni fan wa celtics
Rajondo, kendrick perkins..hatariiiiiiiii
Man outNatamani kuzijua sheria za basketball [emoji459], sijui kabisa, japo huwa naangalia sana.......
Mpe ABC za Basketball...mkuuMan out
Una sheria inaiwa man out means huwezi drible mpira wakati wewe ukiwa nje ya mstari wa uwanja, tofauti na football mtu anakimbia nje ya uwanja mpira ukiwa ndaniMpe ABC za Basketball...mkuu
Ukishadunda mpira ukaushika huruhusiwi kudunda tena mpaka utoe pasi kisa urudishiwe au mpira umguse mchezaji wa timu pinzaniMpe ABC za Basketball...mkuu
Goli litakalofungwa nje ya D kubwa ni points tatu na ndani ya d kubwa ni point mbili ambayo ndo maana halisi ya basketNatamani kuzijua sheria za basketball [emoji459], sijui kabisa, japo huwa naangalia sana.......
Walipambana hatariNa ile Fainal Against lakers mzee ilkua ni hatari......
Yeah that comeback game 4...noma but paul pierce na rondo those ballerz ndo walifanya niipende Boston.Walipambana hatari
Dah ila garnet kwa miaka ya 2000 ndio aliyekuwa the best power forward ukiachana na tim duncanYeah that comeback game 4...noma but paul pierce na rondo those ballerz ndo walifanya niipende Boston.
Lazima ataelewww leo huyuGoli litakalofungwa nje ya D kubwa ni points tatu na ndani ya d kubwa ni point mbili ambayo ndo maana halisi ya basket
Yeah Garnet alkua na mizuka ya hatari...[emoji23][emoji23] but Tim Duncan was something elde.Dah ila garnet kwa miaka ya 2000 ndio aliyekuwa the best power forward ukiachana na tim duncan
Mkuu mzee wa serikali na huku unafika [emoji2]
Mkuu mzee wa serikali na huku unafika [emoji2]
Mdogo mdogoLazima ataelewww leo huyu