Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
A baller, karbu sana.Huu uzi naishi nao
Hapana mzee, team work ndo inafanya hivyo...though wapinzani wakiwa lege lege inaweza tokea one man show....kama lebron kule Cavaliers..Timu yoyote yenye
1 giannis
2lebron
3 Durant
4 curry
Ni championship contender
Hivi ule ni wa NBA playoffs au ni kuhusu NBA?Uzi kama huu tayari upo...
"Team work beats a lot"Hapana mzee, team work ndo inafanya hivyo...though wapinzani wakiwa lege lege inaweza tokea one man show....kama lebron kule Cavaliers..
Sio kwamba ilkua ngekewa tu last season?And guys,, let us not forget the "SUNS",, they seem to have the unfinished business from last season.
Hapana,, jamaa walikuwa wanakidunda haswa, "Booker" yupo vizuri na ninahisi na season hii ataendeleza moto ule ule,Sio kwamba ilkua ngekewa tu last season?
They can challenge but hawawez kua title contender ..msmu huuHapana,, jamaa walikuwa wanakidunda haswa, "Booker" yupo vizuri na ninahisi na season hii ataendeleza moto ule ule,
Dingi "Chris Paul" jua linaelekea kuzama na ana hasira ya kumaliza japo na championship moja.
Ngoja tusubiri tuone, maana kila season inaibua "a suprise package to contend".They can challenge but hawawez kua title contender ..msmu huu
Msimu huu apindui na bucksBoston celtics ila antentokounmpo namkubal mno. View attachment 1971563
Lakers nao si wabaya kihivyo japo naona awapewi sana nafasi msimu huuMi naona Dub nation...warriors...wako vzuri
Chama langu mffl(maverick fun for life)
[emoji1] msmu huu niko unga mkuu...labda makinda wangu wata stand upMsimu huu apindui na bucks
Lakers wastaafu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Lakers nao si wabaya kihivyo japo naona awapewi sana nafasi msimu huu
Magic luca...[emoji459][emoji459]Chama langu mffl(maverick fun for life)
Super team zimedhamiri siku hizi