NBA Original Thread: Basketball & Fun

NBA Original Thread: Basketball & Fun

Naona Nets wameamua kumsusa Kyrie..
Screenshot_20211014-193247_Twitter.jpg
 
Hapana mzee, team work ndo inafanya hivyo...though wapinzani wakiwa lege lege inaweza tokea one man show....kama lebron kule Cavaliers..
"Team work beats a lot"

Season ilopita nadhani tuliwaona "ATLANTA HAWKS" , walikuwa bonge la suprise.

Na ile season ya "LAKERS" anakuwa champion, "MIAMI HEATS" pia walifika kwenye final play offs kwa kuwa na strong TEAMWORK.
 
Hapana,, jamaa walikuwa wanakidunda haswa, "Booker" yupo vizuri na ninahisi na season hii ataendeleza moto ule ule,

Dingi "Chris Paul" jua linaelekea kuzama na ana hasira ya kumaliza japo na championship moja.
They can challenge but hawawez kua title contender ..msmu huu
 
Back
Top Bottom