Ni nyingi ila tutaanza zile basic...
-hauwezi kukimbia au kutembea na ball bila ya kuudunda. (Ref atasimamisha na kuwapa mpinzani mpira)
-tofauti na football, mpira wa basket utajulikana uko nje endapo tu utagusa chini nje ya mstari ..ila ukivuka mstari wa nje lakini upo juu hauwesabiki uko nje.
-ukishavuka mstari wa kakati wakati ukiwa na ball..haupaswi kurudi nyuma ya mstari wa kakati ukiwa na mpira. (Ref atasimamisha na kuwapa mpinzani)
-ukiugusa mpira na mguu wakati unakaba basi ni kama hesabika kama handball kwenye football.
-Endapo utacheza rough( kugonga ubavu, kugonga mikono) pale mpinzani anaenda kufunga basket..basi itaitwa foul... then mpinzani aliefanyia rough atarusha mitupio miwili. Ila kama ulimfanyia rough na akajitahidi akafunga ..then mpinzani atapanta na foul ila atarusha mtupio mmoja.
Etc......