Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
This boy is wild!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekimbilia kwenye VUVUZELA
This boy is wild!!!!
![]()
Rev, Perkins kaumia na inaonekana hatakuwa fit kwa game ijayo, sasa naona foul trouble ya Sheed itaanza mapema sana gemu ijayo, na ndio inaeza kuwa turning point.
Mkuu wewe naona uliwawangia the Cs. Maana Doc Rivers ame-confirm kwamba Kendrick Perkins hatacheza kesho. Kutokana na hilo pengo Glen Davis na Sheed itabidi wacheze dakika nyingi. But Sheed huwa ana matatizo ya foul kibao na sijui kama ataweza kukaa muda mrefu. Iwapo Big Baby ataanza na akawa ametulia, anaweza kuziba bengo, lakini kama atacheza kwa kupania basi litakuwa tatizo.
Doc Rivers na Rondo wote walikiri kwamba pengo la Perkins linaweza kuwaumiza kwenye game 7. Big Baby anasema bring it on ili aweze kuonyesha manjonjo ya Donkey and Shrek siku ya grand finale.
Kama Cs wataingia wakiwa wamepania sana wanaweza ku-perform kama game 1, wanaweza kujikuta wanalambwa fouls kibao. Wanatakiwa kutulia sana ili game liwe zuri. LAL najua wanajiamini kwa kuwa sasa wako nyumbani na rebounder mkubwa wa Cs hatacheza, so wana opportunity ya ku-take advantage ya ugonjwa wa Perkins. Wakijiamini sana inaweza kuwa-cost wakashindwa wakiwa nyumbani.
All in all, game 7 inaweza kuwa very interesting kama timu zote zitacheza bila kukamiana. Kila la heri kwa timu zote, atakayecheza game nzuri na ashinde.
Mkuu,
Sheed atatusaidia kutwaa ndoo, maana yeye hata akizecha robo saa lazima akamilishe idadi ya faulo..he he eh. Baby sina wasiwasi naye maana hawezi kuchukua rebounds kwa uhakika na body frame yake sio athletic.
Kabla ya mechi ya jana nilikuwa mnyonge sana,maana nilihisi maumivu mara 2 yako mlangoni...lakini sasa naweza kuanza kukenua, maana ushindi ni kama around 75%.Mkulu nakuona umefufuka kweli.Hamsini yako bado umeishikilia sio?...:hungry:
Kabla ya mechi ya jana nilikuwa mnyonge sana,maana nilihisi maumivu mara 2 yako mlangoni...lakini sasa naweza kuanza kukenua, maana ushindi ni kama around 75%.
Mbebabox yuko wapi..? nataka ku-bet 100 bucks.