NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

This boy is wild!!!!

7b1b36f505f505a506dc401bdd429a5c-getty-99174874mw122_nba_finals_ga.jpg
 
Rev, Perkins kaumia na inaonekana hatakuwa fit kwa game ijayo, sasa naona foul trouble ya Sheed itaanza mapema sana gemu ijayo, na ndio inaeza kuwa turning point.

Mkuu wewe naona uliwawangia the Cs. Maana Doc Rivers ame-confirm kwamba Kendrick Perkins hatacheza kesho. Kutokana na hilo pengo Glen Davis na Sheed itabidi wacheze dakika nyingi. But Sheed huwa ana matatizo ya foul kibao na sijui kama ataweza kukaa muda mrefu. Iwapo Big Baby ataanza na akawa ametulia, anaweza kuziba bengo, lakini kama atacheza kwa kupania basi litakuwa tatizo.

Doc Rivers na Rondo wote walikiri kwamba pengo la Perkins linaweza kuwaumiza kwenye game 7. Big Baby anasema bring it on ili aweze kuonyesha manjonjo ya Donkey and Shrek siku ya grand finale.

Kama Cs wataingia wakiwa wamepania sana wanaweza ku-perform kama game 1, wanaweza kujikuta wanalambwa fouls kibao. Wanatakiwa kutulia sana ili game liwe zuri. LAL najua wanajiamini kwa kuwa sasa wako nyumbani na rebounder mkubwa wa Cs hatacheza, so wana opportunity ya ku-take advantage ya ugonjwa wa Perkins. Wakijiamini sana inaweza kuwa-cost wakashindwa wakiwa nyumbani.

All in all, game 7 inaweza kuwa very interesting kama timu zote zitacheza bila kukamiana. Kila la heri kwa timu zote, atakayecheza game nzuri na ashinde.
 
Mkuu Ab-Titchaz,

Asante sana kwa mapicha ya game 6. Kazi ni game 7, maana hilo ni game baya sana kwa pande zote, japo ninaona pressure ni kubwa sana kwa upande wa Cs kwa sababu zifuatazo: wako ugenini, game iliyopita walicheza vibaya sana, wamempoteza centre wao (Perkins), ukimsikiliza Doc Rivers na Rondo ni kama wamekata tamaa kwa namna flani hasa baada ya kumpoteza Perkins.

Sasa Mkuu Abuu bado una matumaini makubwa ama ni 50-50? Baada ya game kuisha nitashukuru sana iwapo utatuwekea mapicha ya game lote pamoja na celebration za kukabidhiwa kikombe kwa timu itakayoshinda.

Wale walio-bet naona viroho vinawadunda, kuna uwezekano wa kuliwa ... mimi simo!
 
Mkuu wewe naona uliwawangia the Cs. Maana Doc Rivers ame-confirm kwamba Kendrick Perkins hatacheza kesho. Kutokana na hilo pengo Glen Davis na Sheed itabidi wacheze dakika nyingi. But Sheed huwa ana matatizo ya foul kibao na sijui kama ataweza kukaa muda mrefu. Iwapo Big Baby ataanza na akawa ametulia, anaweza kuziba bengo, lakini kama atacheza kwa kupania basi litakuwa tatizo.

Doc Rivers na Rondo wote walikiri kwamba pengo la Perkins linaweza kuwaumiza kwenye game 7. Big Baby anasema bring it on ili aweze kuonyesha manjonjo ya Donkey and Shrek siku ya grand finale.

Kama Cs wataingia wakiwa wamepania sana wanaweza ku-perform kama game 1, wanaweza kujikuta wanalambwa fouls kibao. Wanatakiwa kutulia sana ili game liwe zuri. LAL najua wanajiamini kwa kuwa sasa wako nyumbani na rebounder mkubwa wa Cs hatacheza, so wana opportunity ya ku-take advantage ya ugonjwa wa Perkins. Wakijiamini sana inaweza kuwa-cost wakashindwa wakiwa nyumbani.

All in all, game 7 inaweza kuwa very interesting kama timu zote zitacheza bila kukamiana. Kila la heri kwa timu zote, atakayecheza game nzuri na ashinde.

Mkuu,

Sheed atatusaidia kutwaa ndoo, maana yeye hata akizecha robo saa lazima akamilishe idadi ya faulo..he he eh. Baby sina wasiwasi naye maana hawezi kuchukua rebounds kwa uhakika na body frame yake sio athletic.
 
Mkulu nakuona umefufuka kweli.Hamsini yako bado umeishikilia sio?...:hungry:
 
Kabla ya mechi ya jana nilikuwa mnyonge sana,maana nilihisi maumivu mara 2 yako mlangoni...lakini sasa naweza kuanza kukenua, maana ushindi ni kama around 75%.

Mbebabox yuko wapi..? nataka ku-bet 100 bucks.
 
Mkuu unaongeza dau baada ya kuwa na uhakika wa ku-win? ha ha ha ha ha ha ha

Mimi bado ninachukulia 60% za kushinda, maana Cs hawatabiriki. LAL kama watapoteza game hili nyumbani nitawashangaa sana maana naona advantage zote ziko upande wao. Wakifanikiwa kumdhibiti Rondo kwenye transition watakuwa wamemaliza game, maana Rondo ndiyo engine ya Cs na Doc Rivers anakiri kwamba Rondo akishindwa ku-run flow basi tena na kwenye rebounds hakuna big man!

All the best LAL!
 
Kamata huyo RONDO kumaliza bishara mapema,Celtics wanatamani zile 3point za Ray Allen zingetokea leo
 
Back
Top Bottom