NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

Lakini van Gundy sielewi aliweza vipi ku-pull sweepin's mbili na sasa timu inacrumble..Game 4 kweli SUperman kawatoa kaa Amare alivowatoa Suns game 3, all in all, I still somehow believe in Magic..lol

Magic walikutana na timu ambazo haziwezi kulinda perimeter kwa hiyo ilikuwa rahisi kwa Howard ku-draw double team then anatoa nje kwa warusha vitatu. Timu ya Orlando imejaza 3-pointers kibao, so wakikutana na timu ambayo haiwezi kulinda ile nusu duara basi hapo lazima waandike maumivu makali na ndicho kilichotokea kwenye games za round ya kwanza na ya pili. Kwenye hizo rounds Howard hakucheza dakika nyingi kama anavyocheza sasa hivi kwenye finals za Eastern Conference.

Pamoja na hayo, baada ya kushinda game ya jana, nina imani kwamba wakirudi Orlando wataweza kushinda game moja na hivyo ku-force game 6.

Kwa maoni yangu ni kwamba timu ikipoteza game ya kwanza nyumbani, huwa wana panic na ndicho kilichotokea kwa Orlando. Walikuwa wanajua wana home court advantage, lakini walipopoteza game ya kwanza wakajua wamechemsha na walipopoteza game ya pili ndo ikawa imetoka kabisa. Sidhani kama kuna mtu alitarajia kwamba wangeshinda game ya jana.
 
mkuu mi ni mpenzi wa kikapu tu, na kaa ilivo soka mara nyingi sishabikii timu bali individuals

sawa mkuu,leo karibu uone amar'e atakavyowaadhibu lakers tena........napenda iwe 2-2 to make it more interesting
vilevile naamini magic wata-pull to 3-2 to make an interesting game 6
 
Nimeghairi, game ya leo naiangalia yooote nione miti inavoteleza.

BTW, Magic wakirudisha confidence na kiwango bado wana nafasi ya kuturn the table around na kuandika upya historia ya playoffs.
 
Magic walikutana na timu ambazo haziwezi kulinda perimeter kwa hiyo ilikuwa rahisi kwa Howard ku-draw double team then anatoa nje kwa warusha vitatu. Timu ya Orlando imejaza 3-pointers kibao, so wakikutana na timu ambayo haiwezi kulinda ile nusu duara basi hapo lazima waandike maumivu makali na ndicho kilichotokea kwenye games za round ya kwanza na ya pili. Kwenye hizo rounds Howard hakucheza dakika nyingi kama anavyocheza sasa hivi kwenye finals za Eastern Conference.

Pamoja na hayo, baada ya kushinda game ya jana, nina imani kwamba wakirudi Orlando wataweza kushinda game moja na hivyo ku-force game 6.

Kwa maoni yangu ni kwamba timu ikipoteza game ya kwanza nyumbani, huwa wana panic na ndicho kilichotokea kwa Orlando. Walikuwa wanajua wana home court advantage, lakini walipopoteza game ya kwanza wakajua wamechemsha na walipopoteza game ya pili ndo ikawa imetoka kabisa. Sidhani kama kuna mtu alitarajia kwamba wangeshinda game ya jana.

Baada ya kusoma maelezo yako nadhifu, naona yana asilimia za ukweli.
 
Here we go again....Game 4 in the Western conference's finals
 
Kobe's cheerleaders,what with your guy in the first quarter?
 
Dont talk too soon coz this guy is unpredictable....Im being cautious but the mantra is
"Beat LA...Beat LA...Beat LA"
 
hawa akina FRYE wakianza kuchoma 3's........Lakers chances are slim
 
Dont talk too soon coz this guy is unpredictable....Im being cautious but the mantra is
"Beat LA...Beat LA...Beat LA"

I hear you.
Believe me,the guy's my wickedest nightmare...I'ld rather have Nash go against Rondo.
 
Back
Top Bottom