Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
- #361
Mzee mie sina timu hivo sina pressure bana, ndio maana napenda sana series zote ziendelee mpaka G7..he he he he..Says it all.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mie sina timu hivo sina pressure bana, ndio maana napenda sana series zote ziendelee mpaka G7..he he he he..Says it all.
Lakini van Gundy sielewi aliweza vipi ku-pull sweepin's mbili na sasa timu inacrumble..Game 4 kweli SUperman kawatoa kaa Amare alivowatoa Suns game 3, all in all, I still somehow believe in Magic..lol
mkuu mi ni mpenzi wa kikapu tu, na kaa ilivo soka mara nyingi sishabikii timu bali individuals
Mzee mie sina timu
Nimeghairi, game ya leo naiangalia yooote nione miti inavoteleza.sawa mkuu,leo karibu uone amar'e atakavyowaadhibu lakers tena........napenda iwe 2-2 to make it more interesting
vilevile naamini magic wata-pull to 3-2 to make an interesting game 6
Magic walikutana na timu ambazo haziwezi kulinda perimeter kwa hiyo ilikuwa rahisi kwa Howard ku-draw double team then anatoa nje kwa warusha vitatu. Timu ya Orlando imejaza 3-pointers kibao, so wakikutana na timu ambayo haiwezi kulinda ile nusu duara basi hapo lazima waandike maumivu makali na ndicho kilichotokea kwenye games za round ya kwanza na ya pili. Kwenye hizo rounds Howard hakucheza dakika nyingi kama anavyocheza sasa hivi kwenye finals za Eastern Conference.
Pamoja na hayo, baada ya kushinda game ya jana, nina imani kwamba wakirudi Orlando wataweza kushinda game moja na hivyo ku-force game 6.
Kwa maoni yangu ni kwamba timu ikipoteza game ya kwanza nyumbani, huwa wana panic na ndicho kilichotokea kwa Orlando. Walikuwa wanajua wana home court advantage, lakini walipopoteza game ya kwanza wakajua wamechemsha na walipopoteza game ya pili ndo ikawa imetoka kabisa. Sidhani kama kuna mtu alitarajia kwamba wangeshinda game ya jana.
Kobe's cheerleaders,what with your guy in the first quarter?
Hehehehehehee...it's raining 3s
Dont talk too soon coz this guy is unpredictable....Im being cautious but the mantra is
"Beat LA...Beat LA...Beat LA"