Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The 2010 NBA Finals starts next week...Celtics VS LA...Celtics 4 LA 2...This is my prediction.
Bubu...when was the last time you got anything (prediction) right? Lol...angalia usije kuwa kama Charles Barkley aliyetabiri Cavs in 6 to beat the Celtics
Not really, mi naona kwenye ufa ni huku BC..lolhata mimi got that funny feeling coz i think PHX GONNA BEAT L.A
Not really, mi naona kwenye ufa ni huku BC..lol
Si ndiyo maana ya prediction NN!? Siku nyingine unawala watu na siku nyingine unatoka kapa...Kule kwenye kandanda utabiri wangu mara chache ulikuwa 100% accurate hahahahahaha...hata Shehe Yahya hanifikii...LOL!...Hii game ya leo inaelekea itaisha mapema kabisa jamaa (Orlando) wakishaweka gap ya 15 points basi itabidi nitafute kingine cha kuangalia maana itakuwa haina mvuto tena.
Perkiiiiiiiiiins!!!!
Hiyo technical foul refa kashemsha!
poor calls,hawa officials vipi??
the damage has been done,no team has ever came back from 0-3.its a little too late
Ulitabiri Arsenalwatakuwa mabingwa!!!! hahaahahaha! Anyway, leo Orlando wako vizuri, wanashinda hii game.
Lol...nimeona singa singa na mtambara wake kichwani kavaa throwback...lol
Sijui ni senator yupi (republican) aliyedai jamaa wanavaa diaper kichwani...aliniacha hoi kabisa.