NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

SUPERMAN ana timing nzuri sana kwenye blocks...
 
The 2010 NBA Finals starts next week...Celtics VS LA...Celtics 4 LA 2...This is my prediction.

Bubu...when was the last time you got anything (prediction) right? Lol...angalia usije kuwa kama Charles Barkley aliyetabiri Cavs in 6 to beat the Celtics
 
Bubu...when was the last time you got anything (prediction) right? Lol...angalia usije kuwa kama Charles Barkley aliyetabiri Cavs in 6 to beat the Celtics

Si ndiyo maana ya prediction NN!? Siku nyingine unawala watu na siku nyingine unatoka kapa...Kule kwenye kandanda utabiri wangu mara chache ulikuwa 100% accurate hahahahahaha...hata Shehe Yahya hanifikii...LOL!...Hii game ya leo inaelekea itaisha mapema kabisa jamaa (Orlando) wakishaweka gap ya 15 points basi itabidi nitafute kingine cha kuangalia maana itakuwa haina mvuto tena.
 
Ulitabiri Arsenalwatakuwa mabingwa!!!! hahaahahaha! Anyway, leo Orlando wako vizuri, wanashinda hii game.
 
that was a clean steal.........perkins was frustrated then walks away fro the ref still T was called!!!!!
 
Today Orlando have come to play...It will not be easy for Boston.
 
the damage has been done,no team has ever came back from 0-3.its a little too late

But it's not impossible....

Na Magic wakishinda hii shinikizo litakuwa kwa Celtics sasa kushinda mechi ijayo Ijumaa....maana wakirudi tena Orlando wasahau
 
Ulitabiri Arsenalwatakuwa mabingwa!!!! hahaahahaha! Anyway, leo Orlando wako vizuri, wanashinda hii game.

Hahahahahahaha Mkuu Peasant umetokea wapi hadi kuingia huku...LOL! sikutegemea kabisa kuwaona Wapenzi wa Chelsea huku...si ndiyo maana nikasema "mara chache" utabiri wangu ulikuwa 100% accurate..lakini mchapo wenu na Wigan nilitabiri kwamba mgeshinda kwa magoli mengi (FB) hamtafanya makosa na kumpa kiburi yule kocha wa Wigan aliyemuahidi SAF kwamba wasingekuwa pushovers....bado wiki mbili tu kabla ya beautiful game kuanza kule RSA
 
Lol...nimeona singa singa na mtambara wake kichwani kavaa throwback...lol
 
Lol...nimeona singa singa na mtambara wake kichwani kavaa throwback...lol

Sijui ni senator yupi (republican) aliyedai jamaa wanavaa diaper kichwani...aliniacha hoi kabisa.
 
Back
Top Bottom