Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
powaa bring it onNataka ku-bet na mtu anayeshabikia Celtics, dau 50 bucks.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
powaa bring it onNataka ku-bet na mtu anayeshabikia Celtics, dau 50 bucks.
Refarii nani? Nataka kila participant aweke bet mapema, hamna longolongo.powaa bring it on
Refarii nani? Nataka kila participant aweke bet mapema, hamna longolongo.
Refarii anachukua hizo bucks mapema, siku series inakamilika mshindi anachukua bingo yake kwenda mall au grocery kuchukua mvinyo ili chachu zaidi ktk ku-celebrate..au vp?refarii wa nini sasa wakati post zipo humu au unaogopa kuja ku-edit mambo yakienda kombo? lol
Refarii anachukua hizo bucks mapema, siku series inakamilika mshindi anachukua bingo yake kwenda mall au grocery kuchukua mvinyo ili chachu zaidi ktk ku-celebrate..au vp?
hayo ndio mambo ya mechi za kombe la mbuzi siku ya fainali mnaambiwa mbuzi hayupo.huoni kumtumia refa ni usumbufu wa kuzungurusha hela wakati tupo hapa wawili na mashaidi wanasoma siku ikifika mtu anamuingizia mwenzake 50 dollar yake au una refarii umemuandaa ebu mpendekeze.
Poowa mwana, paypall will do for me..He he he..ngoja nianze mapema kuchagua mvinyo wa kusherehekea..
Nataka ku-bet na mtu anayeshabikia Celtics, dau 50 bucks.
Puhleeze!
ha ha ha ngoja ray allen akianza 3 zake utajuta lolOk, bado natafuta watu wengine wawili kwa 25 bucks each. Najua nimeshachukua 50 ya Wenger..he he he..
Ok, bado natafuta watu wengine wawili kwa 25 bucks each. Najua nimeshachukua 50 ya Wenger..he he he..
Mkuu sikuelewi..Count me out.
You'd have to possess big enough balls and have a team first...lol!
Repeat after me,Let's go Celtics!
Those 3's will not be enough. Na LAL wakianzaga 1-0 kwenye series yayote huishiaga kwa ushindi. Takwimu zinasema wapo 47-0 wakianzaga 1-0 kwene series yeyote ile..he he he..ha ha ha ngoja ray allen akianza 3 zake utajuta lol
. Na LAL wakianzaga 1-0 kwenye series yayote huishiaga kwa ushindi. Takwimu zinasema wapo 47-0 wakianzaga 1-0 kwene series yeyote ile..he he he..
Mkuu sikuelewi..
Kwa hiyo unashabikia BC halafu hujiamini?