NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

refarii wa nini sasa wakati post zipo humu au unaogopa kuja ku-edit mambo yakienda kombo? lol
Refarii anachukua hizo bucks mapema, siku series inakamilika mshindi anachukua bingo yake kwenda mall au grocery kuchukua mvinyo ili chachu zaidi ktk ku-celebrate..au vp?
 
Mimi sisemi kitu bana ... nasubiri mwisho wa game la leo. Maana naona game yenyewe iko physical kweli kweli.
 
Refarii anachukua hizo bucks mapema, siku series inakamilika mshindi anachukua bingo yake kwenda mall au grocery kuchukua mvinyo ili chachu zaidi ktk ku-celebrate..au vp?

hayo ndio mambo ya mechi za kombe la mbuzi siku ya fainali mnaambiwa mbuzi hayupo.huoni kumtumia refa ni usumbufu wa kuzungurusha hela wakati tupo hapa wawili na mashaidi wanasoma siku ikifika mtu anamuingizia mwenzake 50 dollar yake au una refarii umemuandaa ebu mpendekeze.
 
Poowa mwana, paypall will do for me..He he he..ngoja nianze mapema kuchagua mvinyo wa kusherehekea..
 
Poowa mwana, paypall will do for me..He he he..ngoja nianze mapema kuchagua mvinyo wa kusherehekea..

paypal the best way haina longo longo na mtu anamuingizia mwenzake hela wakati kombe linakabiziwa hapa hapa tukiwa hewani.

wewe chagua mvinyo angalia usije ukaishia kununua dawa ya usingizi lol.
 
Ok, bado natafuta watu wengine wawili kwa 25 bucks each. Najua nimeshachukua 50 ya Wenger..he he he..

Count me out.
You'd have to possess big enough balls and have a team first...lol!
Repeat after me,Let's go Celtics!
 
Count me out.
You'd have to possess big enough balls and have a team first...lol!
Repeat after me,Let's go Celtics!
Mkuu sikuelewi..

Kwa hiyo unashabikia BC halafu hujiamini?
 
ha ha ha ngoja ray allen akianza 3 zake utajuta lol
Those 3's will not be enough. Na LAL wakianzaga 1-0 kwenye series yayote huishiaga kwa ushindi. Takwimu zinasema wapo 47-0 wakianzaga 1-0 kwene series yeyote ile..he he he..
 
Wanataka kutuumizia dokta Gasol..hawa wakulima vp?
 
Back
Top Bottom