BAK ni kweli Lebron James anatakiwe apate ring but kazi wanayo
NBA mwakani labda itawaha moto apa TZ maana kutakuwa na mark yetu huko labda itaamsha ari ili nao uwe no 2 after faball
Duh!! Mimi na Basketball kushoto, ila naona my team Atlanta Hawks lazima wawafundishe Heat kisomo...!!
Game ya jana ya Hawks na Miami sikuiona sijui matokeo yalikuwaje.
Naona Kesho Detroit na Cleverland ita suck tuu kama ya jumamosi Detroit wameshachoka sasa.
Zama za Detroit kutesa zishafika mwisho, Hawks walishinda jana 90-64.
..fainali itakuwa Cleveland vs Lakers.
..Cleveland watashinda, lakini kwa kubebwa na ma-referee.
..Kobe Bryant is more skilled than any player currently in the NBA, lakini ana damu ya kunguni. wapenzi wa basketball, pamoja na waandishi wa habari, hutokea kumchukia tu bila sababu yoyote ya msingi.
besides naona pia timu zingine zilizotisha kwenye regular season nazo zimeanza vibaya kama kina orlando,boston, miami!!!
ol i can tabiri ni kwa lakers kuingia fainali from west
ila kwa east kama KG akipona then boston watarudi tena,elsewise cleveland watafika pale
no matter who wil b comin from da east side kwa mwaka huu wont matter cz fainali lakers watashinda kirahisiiiii
Do not underestimate the power of San Antonio Spurs...with or without Ginoooobili. Si mmeona jana walivyowatengeza the Mavericks!!
Haya mambo ya kumsifia KG ndiyo kocha wao kasema jana https://jamii.app/JFUserGuide KG and he is not coming back.Boston wanawachezaji wazuri sana na watu kukaa na kumuongelea mtu mmoja inaonekana kama wengine hawafanyi kitu matokeo yake wale wengine wanakuwa hawana mori wa kucheza na ndiyo maana ikabidi kocha wao jana aongee kuhusu huyoKG.jUZI AKAJIDAI KUKASIRIKA AKAENDA kujifungia locker room.basi kama alikuwa na hasira sana angemuomba mtu amfungie kwa nje maana kama amejifungia mwenyewe ni kwamba anaweza kutoka.
hapo kwa Larkers umenena huu nimwaka wao and this time wakishind ayaani itakuwa history kwa Kobe kushinda bila Shakili O'neal.