BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Naangalia mchezo kati ya Spurs na Mavericks. Nilidhani Spurs watapata mteremko lakini naona mechi inaweza kwenda kwa timu yeyote na kama Mavericks watashinda watakuwa wamesteal home advantage from the Spurs. Najua mwaka HUU NBA Finals ni kati ya Cleveland na Los Angeles, ningependa sana Cleveland washinde ili King James naye apate ring, lakini Kobe na Lakers wanauzoefu mkubwa kuliko Cleveland hivyo wana nafasi kubwa ya kushinda. Wanaanza 4th quarter in few minutes wakiwa wametie 74-74.