Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
Naona unawalima madongo bila huruma, tatizo lao ni ma-tozi kama mashabiki wao wa hapa JF....wala si utani inabidi wakacheza ligi ya kina Zonga...😀
Ijumaa njema na wkend njema!
Naona unawalima madongo bila huruma, tatizo lao ni ma-tozi kama mashabiki wao wa hapa JF....wala si utani inabidi wakacheza ligi ya kina Zonga...😀
Ijumaa njema na wkend njema!
YouTube - Ron Artest music video, "Get Lo," with Mike Jones
Hahahah mnaongea sana tatizo lenu ebo!!! season moja na nusu Hawks ilikuwa the worst team kwenye NBA leo hii tunafukuzana na big boys.
Ila duh vichapo viwili tulivyopewa ni noma!! utadhani tumekuwa timu ya mujini kwa kina Sasha.
No siyo madongo ila ninatoa ukweli wewe si umeona mechi yao ya kwanza na ya pili wanapelekwa kweli kweli na Cavalier alafu wanaonekana wana loose their breath,Me i think Hawks wange m-sign Patrick Nyembera wa Paz angewapa tuff sana,Kido ni mfupi 5"1 lakini anamachejo sana.
sasa wapi mambo ya weekend?hamji mitaa ya kati tena?au mpaka rafiki awepo around?unacheza ww tsk tsk tsk tsk tsk.
masoja boy hawks hawawezi game keele nyiingi kuanzia wachezaji mpaka washabiki wao....
Ehhh !! mkulima wewe nawe umetokea wapi?
YNIM kusema kweli mie bitozi na utozi wangu umeanza tangu enzi hizo wewe unacheza gololi, Sasha anacheza mdako, QM anawinda shoree vumbi mpaka kwenye kope...
Weekend njema!! NN watu baadaye wanaingizana maregal 24 kukodolea macho Star Trek.
Hahaha au Yassin Wassira na yule "Papa!!" Watu wapo busy flani, lakini mie nitapiga msele mitaa ile kabla summer haijaisha!! Sema wewe tu ndio uache miyeyu...LOL!! By the way nilikutana tena na yule beshtee aliyekuwa anasoma Seattle...
Ehhh !! mkulima wewe nawe umetokea wapi?
YNIM kusema kweli mie bitozi na utozi wangu umeanza tangu enzi hizo wewe unacheza gololi, Sasha anacheza mdako, QM anawinda shoree vumbi mpaka kwenye kope...
Weekend njema!! NN watu baadaye wanaingizana maregal 24 kukodolea macho Star Trek.
Ehhh !! mkulima wewe nawe umetokea wapi?
YNIM kusema kweli mie bitozi na utozi wangu umeanza tangu enzi hizo wewe unacheza gololi, Sasha anacheza mdako, QM anawinda shoree vumbi mpaka kwenye kope...
Weekend njema!! NN watu baadaye wanaingizana maregal 24 kukodolea macho Star Trek.
naona unarusha ndogo ndogo kwa diva....punguza usoja boyi utadaka totozi hiyo si unaona inavyo flow....Ehhh !! mkulima wewe nawe umetokea wapi?
tsk tsk tsk Papa au Hunter RIP.,Hivi hunter alikuwa vijana yeah?.au tungewaletea watu wa OFS kabisa.
Si unajua ndugu yangu ubisy fulani shule kazi nini combination mbaya sana hii.ulikutana naye wapi na wewe kwa kuzurula ulitakiwa ufungue ur own tourrism company.
Duh mnawazungumzia akina nani hao? Maana naona majina tuu yanaflow.
naona unarusha ndogo ndogo kwa diva....punguza usoja boyi utadaka totozi hiyo si unaona inavyo flow....
Hopped up out the bed turn my swag on
Took a look in the mirror said what's up?
......jamaa hana life!! NOMA!
Hahahaha unajua tena mambo ya "different area codes!" Nilikuwa ma-Dallas recently, nikakutana na mchumba flani hivi akasema ni best wako sana na ana undugu na nanilino!! Kahamia kule toka D.C, shotiii hivi halafu light kimtindo!! Itabidi tuongee......LOL
Babu/bibi mbona umemkazania sana Souljah Boy, ndio Role Model wako au favorite artist kwenye playlist yako?
Tsk tsk tsk tsk sasa inaashiria kuwa ubitizo umeanza juzi tuu Idacon maana enzi hizo mabitoz walikuwa mahepe sana wanajulikana kila kona au wewe utozi wako ulikuwa wa temeke kigiligilani.
Twitwitwitwi.....enzi hizo alikuwa bado yupo kwao Kimbiji huko analinda ndezi!! Hahaha! Duh, halafu Hunter alivuta loooongtyme yaani..mungu amrehemu!