Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
Naona unawalima madongo bila huruma, tatizo lao ni ma-tozi kama mashabiki wao wa hapa JF....wala si utani inabidi wakacheza ligi ya kina Zonga...😀
Ijumaa njema na wkend njema!
No siyo madongo ila ninatoa ukweli wewe si umeona mechi yao ya kwanza na ya pili wanapelekwa kweli kweli na Cavalier alafu wanaonekana wana loose their breath,Me i think Hawks wange m-sign Patrick Nyembera wa Paz angewapa tuff sana,Kido ni mfupi 5"1 lakini anamachejo sana.
sasa wapi mambo ya weekend?hamji mitaa ya kati tena?au mpaka rafiki awepo around?unacheza ww tsk tsk tsk tsk tsk.