NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.

Bashtee yuliza ball usumkolomee wala nini unapoteza calories alafu unapunguza maisha yako ya kuishi.

Life is too short kula raha kwa kwenda mbele,heka heka.
 
Mbona sasa mnaharibu baradha waungwana wangu eeh.

kazi ni kazi jamani bora mkono unakwenda kinywani.

Tuache haya mambo ya kutukanana hayatuletei faida katika community kwanza mnapunguza maisha yenu ya kuishi.
 
Muache aendelee na utoto wake....dawa ya mijitu kama hii ni kuikazie wake zao tena kitandani kwake!! Hana life na atakuwa hajui kum-entertain mkewe, basi kiulaiiiiiiiiiiiiiiiini.....LOL
 
Muache aendelee na utoto wake....dawa ya mijitu kama hii ni kuikazie wake zao tena kitandani kwake!! Hana life na atakuwa hajui kum-entertain mkewe, basi kiulaiiiiiiiiiiiiiiiini.....LOL

Shauri lako.....sitashangaa kama huwaga unaniota kwenye ndoto zako usingizini maana hii obessession yako kwangu sasa imefikia mahali pabaya....

Hivi bwana Chinkala, inaweza ikapita siku kweli hujaniwaza? Najua inatisha lakini yaelekea una matatizo.....
 
Icadon Papii chula do something jamani eeh.unajua ugomvi wa wanaume ni mkali sana.
 
Nini kimetokea? mie nilidhani mitusi ndio silaha yako.....endelea kutukana! Nani awe obssessed na **** linaloshinda JF 24/7??? Acha kabisa kukatikia wanaume wenzako kiuno...
 
Icadon Papii chula do something jamani eeh.unajua ugomvi wa wanaume ni mkali sana.

Hapa ndio kafika huyu cha mdoli (cha mtoto)....amezidi na ujuaji wake usio na mpango, yeye andhani kuvurumisha mitusi ndio sifa! Wallahi ningekuwa naishi ATL lazima ningemkazia demu wake...kamasi kabisa huyu pumbavu!
 
Nani awe obssessed na **** linaloshinda JF 24/7??...

Sasa wewe mwanamume mzima unajua mimi nashinda hapa masaa 24 si lazima utakuwa unanifuatilia nyendo zangu? Si ndio obssession yenyewe hiyo bwana Ndiyayezi or whaever the hell you call yourself....

Au ngoja nikuulize hivi. Umejuaje mimi nashinda hapa 24/7? Are you stalking me? Lol
 
arrg wewe unaonekana utakuwa mshamba tu....
 
arrg wewe unaonekana utakuwa mshamba tu....

Wala hujakosea....sema kama kawaida yako, unajiingiza ktk mambo yasiyo kuhusu!! Watu kama nyie uaga mnabanduliwa bila KY..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…