Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hii unadhani nani atashinda? Maana mimi hapo sijali nani atakayeshinda, ningependa Nuggets washinde, ila match ya Kobe na LBJ ningependa sana kuiona.- Haya mambo leo vipi hii gemu ya Lakers na wazee wa ma-tattoo Nuggets? duh! ngoja nikaukalie chini wallahi lazimu!
FMES!
aisee hawa vijana wanawapelekesha wazee wazima...si mchezo!!
Kwenye hii unadhani nani atashinda? Maana mimi hapo sijali nani atakayeshinda, ningependa Nuggets washinde, ila match ya Kobe na LBJ ningependa sana kuiona.
Denver wamekamilika. Lakers hawapiti pale.
Kilichowaponza Nuggets jana ni kumiss free throws nyingi bila ya mpango. Yaani hata 85% free throw shooter (C. Billups) kamiss jana. Ukiondoa solid gemu ya Kobe na zile 2 incridible 3-point shots by Fisher, Lakers walikuwa nyanya.
Gemu 2 - Melo & the gang wanachukua. That's my prediction.
Acha visingizio. Lakers wangeshindwa na wao wangetoa visingizio. Hivi kwa nini inakuwaga vigumu kwa watu kukubali kushindwa bila kutoa visingizio?
Bottom line, the 'most talented and deepest team' in the Western conference won....
Sitoi visingizio. Nimenyambulisha hii gemu ya jana, na kutoa prediction yangu ya gemu 2
Kutokana na gemu ya jana, utabiri wako wa gemu 2 (let's just take one game at a time) ni nini?
Lakers will go up 2-0
Nuggets wameonyesha udhaifu. Kuna kipindi walikuwa wanaongoza kwa pointi 13 kwenye nusu ya kwanza. Na kwenye nusu ya pili kwenye robo ya nne walikuwa kuna kipindi wanaongoza kwa pointi saba. Ikawaje wakawaachia jamaa wakarudisha na kuongoza? Lakers ni closers wazuri. Kobe ana killer instinct and he's out to prove a point.
Lakers will go up 2-0
Nuggets wameonyesha udhaifu. ... Ikawaje wakawaachia jamaa wakarudisha na kuongoza? Lakers ni closers wazuri. Kobe ana killer instinct and he's out to prove a point.
Heheheheheee...the most talented and deepest team in the west, per the all knowing pundit, inatolewa kamasi na Denver....hehehehehe..the most talented and deepest...lol
Denver wamekamilika. Lakers hawapiti pale.
Kilichowaponza Nuggets jana ni kumiss free throws nyingi bila ya mpango. Yaani hata 85% free throw shooter (C. Billups) kamiss jana. Ukiondoa solid gemu ya Kobe na zile 2 incridible 3-point shots by Fisher, Lakers walikuwa nyanya.
Gemu 2 - Melo & the gang wanachukua. That's my prediction.
... selection order for the upcoming NBA Draft in June. Ningependa Knicks wapate nafasi ya kwanza ili Hasheem awe New Yorker.
Wauza machungwa wenzangu - utabiri kuwa leo wanachukua gemu ya kwanza. Najua ni very unpopular utabiri, lakini habari ndio hiyo....
Yeah hata mimi nina feeling hiyo hiyo. Bado nadhani Wauza machungwa ni bad match up kwa Cavs. Nikitumia terminology ya boxing, styles make fights na kwa jinsi Wauza machungwa wanavyocheza, nani atamzuia Superman? Lakini tutaona....
Umejuaje timu ya kwanza kuchagua itamchagua Thabiti?
Bubu wewe NBA enthusiast nilitegemea ujue Blake Griffin ndio presumptive number one pick at least kwa sasa.
... Wasije wakafanya makosa waliyofanya Seattle ya kumchukua Sam Perkins na kumuacha Michae Jordan 🙂