Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Inakuwaje Cavs waliokuwa wanaongoza kwa pointi 16 kushindwa ku maintain lead yao na hatimaye kupigwa bao nyumbani?
Nasema hivi Wauza machungwa ni bad match up kwa Cavs. Hawa Cavs wamewa sweep wachovu wachovu wa Detroit na Atlanta watu wakaingia mkenge na kuanza kuwamwagia misifa na wengine hata kudiriki kusema kuwa eti LeBron ni mzuri kumshinda Michael Jordan...uuuuuwiiiiiiii....
Utabiri umetimia.....woh hooo!!!!
Cavs - ok ngoja kwanza nikubali kuwa sijawahi kuangalia gemu yao mzima yoyote katika hizi playoffs mpaka jana. Hata hivyo bado nasita kusema chochote kuhusu uchezaji wao mpaka angalau nione gemu mbili zijazo. So far nasikiliza maoni ya wengine.
Magic - nashindwa kuelewa kwa nini hii timu watu wanaiona ni underdog of the three teams. Well, nathubutu kusema kuwa Magic wanacheza kitimu zaidi pengine kuliko timu zote 3. Wanaweza kuwa hawa-fancy moves zao, lakini wana gemu. Strategy yao inanikumbusha the Spurs (somehow).
I'm still standing by my yesterday's prediction - Nuggets win today!