Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mzee unaleta mambo ya Busanda NBA?sema trick gani imetumika kwenye game ya jana...
huyo mwanaCCM alianza kutuletea mambo ya Busanda eti NBA wanafanya trick.......denver wamani let down kwota ya 4 wali relax......Yo Yo tell 'em
mji gani unaongoza kwa totozi kali majuu? nimeona na denver si pa kubeza kamera ilipokuwa majukwaaniYo Yo tell 'em
mji gani unaongoza kwa totozi kali majuu? nimeona na denver si pa kubeza kamera ilipokuwa majukwaani
Rufiji said:Hands down King James is the best player in the league momentarily.
..ppl can say all they want about Lebron but i dont enjoy watching this kid play. he is too much power and no elegance at all
..hicho ndicho kinachonifanya nimkubali Kobe Bryant "black mamba" as the best overall player currently playing in the NBA.
NB:
..halafu Lebron kufunga hizo point-3 basi waandishi wa habari are having a field day taking jabs and shots at Kobe Bryant.
What a perfomance by KB alias Black Mamba!!! It reminds me of Michael Jordan during his era as Air Jordan.
Hahahahaaa...we shall see
Take my word hommes, i know them dudes in Denver are not very stable. We just need to play mind games with them. You wiill see them cracking starting with K-mart,JR,Melo and Bird man.
We got their numbers now.....we gone!
Uliiona ile mean mug ya Kobe lakini? Naona hadi ESPN Sportscenter wameifanya kuwa highlight reel....Kobe is bad y'all....
kumfananisha kid james na kobe ni sawa kuifananaisha CCM na chadema.....ts so bad kumfananisha mtoto kama yeye na watu ka kina Jordan atleast kobe bryant sawa
kumfananisha kid james na kobe ni sawa kuifananaisha CCM na chadema.....
- Lebron kumbe ni mtupu phew! Vipi leo wazee wa tattoos na Kobe? Nawafagilia the tattoos kama kawa!
FMEs!
watapunguzaje 3pts za orlando magic wakat ndo timu iliyolead na inayolead kwa kuchoma point tatuz in de entire league?dats one of their game plan au strategy n dats why it gave howard chance ya kupata rebounds nyingi kwenye league cz ol de rest of de 4 players keep on shooting 3's leavin him pickin up rebounds.
i think ts among de few teams kweney nba kuwa na 4 players from the startin 5 ambao r very gud kwenye kuchoma 3
well kid James na timu yake wameluz n nahofu wataluz tena next game
ts so bad kumfananisha mtoto kama yeye na watu ka kina Jordan atleast kobe bryant sawa
- Nimeanza kukosa imani na Lebron, akishinda leo nitamuamini otherwise ni another NBA player tu, kama wengine wote.
- Nuggets jana wameharibu sana kwa kucheza bila plan, na coolness ya NBA Playoff, wakijirekebisha wanaweza kushinda tena big time.
- Mkuu Yoyo huku huwa hatuna ligi, tunajadili michezo kistaarbu, hizo ligi zako peleka kulee kwenye siasa, sio huku!
Respect.
FMEs!