orlando magic......simfagilii kid james hata kidogo.....Yo Yo Tell 'em wewe unashabikia timu gani? mie nataka hawa southerners wapite maana LBJ naye ana misifia kama ya KB.
orlando magic......simfagilii kid james hata kidogo.....
usiogope....ngoma bado sanaNina sense Cleveland watashinda leo....saa ingine huwa naanza kuamini kama hizi mechi matokeo yake yanakuwa yamepangwa...
usiogope....ngoma bado sana
hii ndio fungulia dog wanaita.....Cavs hatoki leo
hamna kitu kama hio....6 sec leftMagic wananyukwa leo...
rashad lewisssss
Hii ngoma 3-1 in favor of Orlando!