NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Lazima utakuwa mtoto wa IST si bure.

Yeah its so sad indeed.

3289_507767789058_193700239_30227664_7962414_n.jpg
 
Mimi sizielewi hizo stress za Jumatatu. Zikoje?

monday could be a stress na stress hizo zinaweza kutokana na vitu vingi.lets say you been bombard na some stuff suring the weekdn let say ulikuwa ER all wknd,or umegombana na mwenza wako or umenyimwa unyumba or something hizo tunaita monday stress.
 
Oh okay....well, my weekend was a blast. So no Monday stress here. I was just curious as to who she was/ is. That's all. Happy Monday to you and yours.
 
Oh okay....well, my weekend was a blast. So no Monday stress here. I was just curious as to who she was/ is. That's all. Happy Monday to you and yours.

Ni dada mmoja hivi anaishi DC, a very nice person ana figure nzuri sana inshalah amejaaliwa,she is a people personal (she gets along with everybody very well) hata ww utampenda kama unataka kumjua.do you?
 
Nani ameiona X-Men? Alafu hao Lakers wanaanza lini kucheza na Rockets?
Sasha hujambo lakini, weekend ilikuwaje?
NN sema naona Hawks wamefanya kweli.
 
Nani ameiona X-Men? Alafu hao Lakers wanaanza lini kucheza na Rockets?
Sasha hujambo lakini, weekend ilikuwaje?
NN sema naona Hawks wamefanya kweli.

Rocket na Lakers wanacheza j4 which is kesho babes!jiweke tayari ya kisusio maana kesho ngoma itakuwa balaah trust me.

Mimi sijambo aisee hofu na mashaka ni kwako uliyembali na upeo wa macho yangu.

I guess since i hate the cavalier then i will have kushangilia the Hawks kwa sababu yako tuu ww Icadon.
 
Sasha hujambo lakini, weekend ilikuwaje?

Rocket na Lakers wanacheza j4 which is kesho babes!
Mimi sijambo aisee hofu na mashaka ni kwako uliyembali na upeo wa macho yangu.

I guess since i hate the cavalier then i will have kushangilia the Hawks kwa sababu yako tuu ww Icadon.

That's what's up Nyani Ngabu,and i hope you mean it.

Icadon...unachukua notes lakini? Sasha keshakudondokea...ushindwe wewe tu
 
Sijamdondekea bwana Nyani ngabu vipiiii tsk tsk tsk hivyo ni vihisishi plus vivumishi tuu hakuna lolote.

Why deny it Sasha?

Ok, well....I hope he's taking notes...maana kila aina ya hint keshapata. Bahati yake Yo Yo hayupo
 
Nani ameiona X-Men? Alafu hao Lakers wanaanza lini kucheza na Rockets?
Sasha hujambo lakini, weekend ilikuwaje?
NN sema naona Hawks wamefanya kweli.

Hehehehe musee wa Mob City, naona unapiga mashuti toka ktkt ya uwanja!! Si utani, musuli munene! LOL

Game ipo leo pale BankNorth Garden, mabingwa watetezi (sisi) tunawamwaga kinyesi Dwight Howard na wakulima wenzake toka orlando! Game time ni 8pm EST......

In Boston, we alwayz believe! Go Celtics!😎
 
Gotcha......

Hivi wewe umekumbuka hata kuoga asubuhi hii kabla ya kwenda kazini?? Unakesha JF wa ngw'a faza, una mgogoro gani? au ndio umerogwa? Unahitaji msaada, hii kitu ya 24/7 ktk hii website itakufikisha pabaya..haka katabia kakiendelea, itabidi tumshauri Cuppy akumwage, kwani ni uchizi huu...
 
Kwa mchana mwema, halafu wewe NN uwe unaenda na movies pia sio JF tu kila siku!! Soloist ya Jr na Jamie Foxx ipo pina, take a break toka JF....yes you can!!

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=UYc875zkDxg]YouTube - Jamie Foxx featuring T-Pain - Blame It[/ame]
 
Boston watafungwa na Orlando mtaendeshwa sana kama mlivyoendeshwa na Bulsl.Mmeponea kibahati sana its all good.
 
Rocket na Lakers wanacheza j4 which is kesho babes!jiweke tayari ya kisusio maana kesho ngoma itakuwa balaah trust me.

Mimi sijambo aisee hofu na mashaka ni kwako uliyembali na upeo wa macho yangu.

I guess since i hate the cavalier then i will have kushangilia the Hawks kwa sababu yako tuu ww Icadon.

Mimi mzima wa afya niko najenga taifa la Obama.Hahah njoo tu ushabikie hawks usiwe na wasi wasi sitomuambia NN. Kisusio wewe mchaga?

Icadon...unachukua notes lakini? Sasha keshakudondokea...ushindwe wewe tu

Hahaha ngoja nimuulize mwenyewe..weekend ilikuwaje hapo kwako lakini?

Why deny it Sasha?

Ok, well....I hope he's taking notes...maana kila aina ya hint keshapata. Bahati yake Yo Yo hayupo

Huyo mshikaji wako Yo Yo mechi zake za chandimu ukimtupia gozi original anatetemeka. Ligi hii haiwezi.

Hehehehe musee wa Mob City, naona unapiga mashuti toka ktkt ya uwanja!! Si utani, musuli munene! LOL

Game ipo leo pale BankNorth Garden, mabingwa watetezi (sisi) tunawamwaga kinyesi Dwight Howard na wakulima wenzake toka orlando! Game time ni 8pm EST......

In Boston, we alwayz believe! Go Celtics!😎

Hahaha babu Mob City kule we acha tuu musee nilikuwa nakamua mashine kwenye 70 naingizina mitaa ya uko juu, nikitoka uko naitafuta STL. Mashuti kutoka katikati ya uwanja lazima unatest kama kipa yuko gado.
 
mabingwa watetezi (sisi) 😎

Unaona akili yako ilivyo na funza? Eti "sisi".....wewe na nani? Wewe umekuwa mchezaji siku hizi? Au toka lini umeajiriwa na Celtics organization? Labda unambie umepewa kazi ya "maintenance"...kufuta futa ile court ya mbao wakati wa time out.

Na toka lini maintenance personnel kama wewe mnakuwa considered sehemu ya timu? Hata ring hampati.....

Nitaangalia kwa makini leo nikuone na li mop lako ukifuta court....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom