NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
kwa sababu unajua nazungumza ukweli......kweikwikwiiiiii

Sawa musee wa kusema ukweli....unaoneka umepania! Ngoja mie niangalie game!

Unaanza kupata mtindio wa akili kwa kushinda kwenye internet 24/7..
 
Last edited:
Couz sikuwezii! Najua Summer hii ulishaingia Gym na uko ready.

Hahaha couz mimi siendi gym nimeshamuachia mzee wa mbavu nene aka mzee Samuel Adams maana ameshasema game yangu nyembamba plus ameshatoa offer ya SA hehehe. Kipigo cha leo utadhani walichopata Orlando jana au Chelsea juzi Nomaaaa!!!

Eh!! wewe Rev umetokea wapi? pole kwa kichapo.
 
Icadon,

Acha nuksi bwana huyo Meno ya Tembo tunamuacha!

Lakini ulimuona 24 jana akizichupa na hta kile kipepsi alichompiga Artest?
 
Hahaha couz mimi siendi gym nimeshamuachia mzee wa mbavu nene aka mzee Samuel Adams maana ameshasema game yangu nyembamba plus ameshatoa offer ya SA hehehe. Kipigo cha leo utadhani walichopata Orlando jana au Chelsea juzi Nomaaaa!!!

Eh!! wewe Rev umetokea wapi? pole kwa kichapo.

Hahahahaha duh! leo inaonekana sio siku yangu kabisa yaani, naona wasee mnakuja dabodabo......mie nshanawa siwawezi nawaachia uwanja mjivinjari!!
 
Ewe Halle Berry wa kiume...hebu thibitisha hiyo kauli yako...

Hewala ndava NN! Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi....kabinti kako kakiwa tayari kwa "matumizi ya nyumbani" lazima nikatungue, hiyo ndio adhabu yako kwa haya matusi unayonitukana! Bwahahahaha yaani utakuwa baba mkwe.......
 
Sex offender/sexual predator wewe lazima nikulengeshe polisi uende lupango wakakutusue vizuri maana hapa ume drop hints weeee na hujapata aliyeko interested....

Jibaba lizima unaanza ku fantasize kuhusu katoto kadogo...una laana ya mamako mzazi haki ya nani!!!
 
Duh!!! Haya bingwa!! Naona una domo chafu kama choo cha serikali.....unaonekana una hasira, umepigwa chini nini??😀 Pole sana na acha utoto, ama sivyo vibuti vitakuwa vinakuandama kila siku....LOL
 
masoja boy hawks hawawezi game keele nyiingi kuanzia wachezaji mpaka washabiki wao....
 
masoja boy hawks hawawezi game keele nyiingi kuanzia wachezaji mpaka washabiki wao....

Umefikwa na yepi chamaa!? Nilikuwa nashangaa huyu nani, kumbe ni wewe? Haya bwa'kubwa....tunaendelea! LOL
 
Umefikwa na yepi chamaa!? Nilikuwa nashangaa huyu nani, kumbe ni wewe? Haya bwa'kubwa....tunaendelea! LOL

Hujambo lakini weye bwabwa? Bipi leo utaenda kwenye SA za dezo? Ila nakusihi usiendekeze sana vitu vya dezo dezo....utakuja kutifuliwa kifusi kama bado hakijatifuliwa tayari....
 
Jana niliomba kupewa results za game ya cavalier na Hawks nilikuwa nipo safari so sikuweza angalia naona wote mmenichunia i see its like that now?.
 
Jana niliomba kupewa results za game ya cavalier na Hawks nilikuwa nipo safari so sikuweza angalia naona wote mmenichunia i see its like that now?.

Mie sijui juu ya Hawks na Cavs, ila leo Kobe akicheza dirty, atavunjwa pua....:twisted:

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=ppYxnV2o0Ug&feature=related]YouTube - "Ron Artest" - - 4-IZE Ft. # 2 (DJ Set it Off Blend)[/ame]
 
Mie sijui juu ya Hawks na Cavs, ila leo Kobe akicheza dirty, atavunjwa pua....-

That is the only way he has to play to win,I am so lookign foward na game ya leo na hivi kesho ni j'mosi.

Well Hawks naona ni wameshatolewa kwanz amchezo wao since day one ulikuwa wa kiwango cha chini sana wanafaa kuwa kwenye ligi moja na vijana au pazi timu za Tanzania.
 
Naona unawalima madongo bila huruma, tatizo lao ni ma-tozi kama mashabiki wao wa hapa JF....wala si utani inabidi wakacheza ligi ya kina Zonga...😀

Ijumaa njema na wkend njema!

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=U5MIbe-J4YA]YouTube - Ron Artest music video, "Get Lo," with Mike Jones[/ame]
 
Ron Artest.....hit 'em!!

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=RtOGXB4l0rs&feature=related]YouTube - Ron Artest-Haterz[/ame]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom