NBA Season 2014/2015


Ungenisoma vizuri ungeelewa vema.
Nimesema msimu huu GSW wameutwaa. That's good.
By the fact that hii game haitabirikagi nimemaanisha next season huwezi jua nani atakuwa mshindi wa season.
Au bado unadhani kuwa hawa madogo wana chance ingine ya kuutwaa msimu ujao?
Kila mtu ana nafasi kubwa ya kushinda msimu ujao.
Narudia tena hili game halitabirikagi
 
My dear friend hekimatele, are you still around? Je hao uliowaita madogo mwaka jana ndio hawa hawa wanaoongoza 35-2? Ingependeza kama tungejenga tabia ya kuweka akiba ya maneno, ni ushauri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…