Chezeya playoffs Mkuu, GSW karibu waadhirike nyumbani, 2 more games to go later today.
Nilishapitia.. unajua hii come back ya Pelicans ilinichanganya kidogo..
Kutoka 18 mpaka 7 si mchezo..
out of four games.three home winners....
Toronto sijui imekuwaje wakapoteza..
wote walianza slow,turnovers nyingi,hata hivyo baadae raptors waliongoza kwa muda mrefu japo kwa point chache,ilikuwa rahisi kwa timu yoyote kushinda...a very close game
Raptors walizembea sana kwa kweli kuna wakati 3rd quarter Wizard walikuwa wakiongoza hadi kwa 12 lakini 4th quarter Raptors wakangangamara na kutie the game with 3 points to 82 each na kuwaamsha wapenzi wao. Kwenye OT wakazembea na kufunga 4 points tu wakati Wizard walifunga 11 points. Pia kwenye rebounds walizembea sana kama hawakungangamara next game wanaweza kuwa sweep. Mkongwe Paul Pierce was at his best offensively and defensively
Aisee steph curry alikua ana shoot zile 3pts throws nomaatangu mwanzo nilishasema 3pt shooting ni ngumu sana kuwin playoff games.....hata curry kasema, their FGAs were awful.I hope waimprove next game...wasiblow tena hizi leads
A.D for Antony Davis nafikiri?A.D akiamua kusimamia show anaipiga vizuri hasa.. Nakumbuka hata ile game yetu bila yeye wasingeshinda.
Kwenye MVP race kwangu favorites ni Curry, A.D and Harden huyo Lebron siwezi kumweka..
Aisee steph curry alikua ana shoot zile 3pts throws nomaa
A.D akiamua kusimamia show anaipiga vizuri hasa.. Nakumbuka hata ile game yetu bila yeye wasingeshinda.
Kwenye MVP race kwangu favorites ni Curry, A.D and Harden huyo Lebron siwezi kumweka..